KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Naomba kujua kuhusu Vijiji au Miji inayotembelewa na Tume ya Katiba mpya vina sifa gani ya ziada. Nimejaribu kufuatilia baadhi ya wadau wa mitandao hasa Facebook na Kukuta kuwa wanalalamika Tume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAONI YANGU KUHUSU KATIBA MPYA 1) MUUNGANO Hakuna ubishi kuwa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ni wa kipekeekatika Afrika na Dunia nzima. Upekee wa muungano huu hautokani tu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kuwakumbusha watanzania wote hasa wale tunaoishi maeneo ya vijijin tujitokeze kutoa maoni yetu kikamilifu.!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/282291-katiba-tanganyika-irudi-kwanza-ndipo-rasimu-ya-katiba-ifuate.html. Tafadhali natafauta maoni ya wana JF kuhusu aina ya muungano au kama hawautaki...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
''wamilikiwa vituo vya mafuta sumbawanga , wamegoma kuhuza mafuta ili kuhujumu wananchi waichukie serikali yao '' unahujumu zoezi zima la mitihani ya kidato cha nne wakati wa usambazaji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa kamati ya kukusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya, Jaji Joseph Sinde Waryoba amesema kamati yake ipo kwa mujibu wa sheria na muda uliopangwa kumaliza kazi yake pia upo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu, Habari za Mchana!!!!!!! Naombeni mnipatie website ya kuchangia maoni ya katiba mpya,tafadhali kama unaifahamu nakuomba unnisaidie
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Suala la chama cha mapinduzi kuwaepusha wagombea wao na midahalo ya wazi 'debates' kutokana na kutowaamini kiuewezo, imepelekea ofisi za umma kukaliwa na matango pori eti viongozi. Debate...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jukwaa la Katiba Tanzania limesema kupatikana kwa katiba mpya ifikapo Aprili, 2014 ni ndoto kutokana na kusuasua kwa zoezi la ukusanyaji wa maoni linalofanywa na Tume ya Katiba kushindwa kufika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inaonekana Katiba iliyopo inaruhusu Upotevu wa AMANI kuletwa na IMANI zetu! Katiba iweke wazi mambo yahusuyo dini. Iongee kinaganaga kuwa Serikali haina dini na wala haifuati dini yoyote na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
katika kuchangia maoni kuhusu nn kiwepo kwenye katiba mpya wanwake huko songea wameliambia jukwaa kuwa serikali ipige marufuku vitendo vya ushoga kwani wanawake wengi hawana wanaume ama hawaolewi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiukwel 2natakiwa kutoa maon ya kujenga sio kulumbana nn kiandikwe kwa ajili ya wakristo na nin kiandikwe kwa ajili ya waislamu.hil litakuwa tatizo na atapat katiba bora kwa ujinga na uzembe wetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo ambayo hayafai katika Katiba ya Nchi Kuna vikundi mbalimbali vimejitokeza nchini vinavyowashawishi wananchi kutoa Maoni yao kulingana na Maslahi yao Binafsi. Vikundi hivyo vinawashawish...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Tanganyika na Zanzibar zinapashwa kuwa na katiba zao, na iundwe serikali ya muungano (Federal State). Mamlaka ya Raisi yapunguzwe. Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa Polisi na wakuu wa tarisi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kutoa maoni ya kuundwa kwa Katiba mpya tutake Tanzania pia iwepo Wizara ya Maadili kama ilivyo kwa wenzetu Uganda ambapo pamoja na mambo mengine itasimamia Maadili ya kiutendaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Kwa kuwa dunia ya leo uchumi unategemea sector binafsi, km wasemavyo "Private sector is the Engine of Economy" inashaangaza sana sector hiyo kutoshilikishwa au kutopewa nafasi bungeni ili kutatua...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna makosa mengi ya jinai ambayo yanatokea katika mazingira ya makusudi na watu wanafanya hivyo kwa kujua kwamba watafikishwa mahakamani na baada ya hapo kutakuwa na mwenendo wa kesi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya. Naomba kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate mwanga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua mchango unaotolewa na Tanganyika Law Society (TLS) katika mchakato wa Katiba Mpya. Naomba kujua kama wanatarajia kuandaa mijadala kwenye redio au TV, kujua hivyo kutatusaidia tupate...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
BAADHI ya wanafunzi wa sekondari wilayani Mpanda na Mlele mkoani Katavi wamejitokeza mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kupendekeza Katiba ijayo ibane walimu wa kike ambao wanapewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…