Wakubwa,Kusema kweli billa kuingiza itikadi za siasa kwa nchi kama Tanzania ambayo imepata uhuru wa bendera miaka 50 iliyopita hatuwezi kuendelea kufumbia macho upungufu mkubwa uliopo kwenye...
Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya...
Gonga hapa usikie sababu za kwa nini wabunge wa CHEDEMA walitoka nje ya Bunge kuukataa mchakato wa kupata katiba mpya.Maelezo hayo yalitolewa na TUNDU LISSU wakati walipoongea na waandishi wa...
Wednesday, 23 November 2011Na Nkwazi Mhango
Hivi karibuni rais Jakaya Kikwete alivunja kimya chake cha muda mrefu ingawa kufanya hivyo, hata hivyo hakukuwa na tija yoyote. Wengi walidhani penye...
Ndugu Watanzania Wany'onge,
Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa...
I was listerning to kipindi cha Jambo in which the AG of Tanzania and Mzee Waziri Wassira were interviewed by a TBC 1 staff on the issues related to Muswada wa Sheria ya Kubadilisha Katiba...
Nilikuwa nikuatilia kwa umakini sijakutana na maeneo yanayoongelea sera ya uchumi wa taifa kwa ujumla badala yake wameyapa nguvu zaidi sera za kisiasa wakati ili uwe na siasa safi na uongozi bora...
It is very concerning and disheartening that our members of parliament can not truly come together for the sake of the nation and have a civilized and constructive debate on how to construct this...
19th November 2011Serikali imeshauriwa kutowapuuza wananchi ama kikundi chote kinachohoji mchakato wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya muunganio wa Tanzania kwa kuwa ikiwapuuza itakwama mbele ya...
Ndugu watanzania wenzangu popote pale mlipo, wengi wetu wenye nia njema na nchi yetu tumefadhaishwa sana na namna mambo yanavyopelekwa kuhusu katiba mpya. Tanzania tunahitaji katiba iliyotokana na...
Kwa hali ya kawaida kabisa, inajulikana kuwa Muungano baina ya nchi ni maafikiano kati ya nchi na nchi. Na mnapoungana mmeridhia kuwa pamoja kwa mambo yote, sasa mimi nahoji juu ya Muungano wa...
Juzi rais JK amekula moto na upinzani hususan chadema kwamba wanataka kuyumbisha nchi katika mchakato wa katiba mpya. Kama umesoma katikati ya mistari kitu kilichomtisha sana jk ni hoja ya kuwa na...
Wana JF
Tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.
hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.
Maadui...
Mimi si mtaalamu wa sheria lakini napata wasiwasi kwa kutumia ufahamu wa kawaida. Kuna uhalari gani wa kurejea kwenye vifungu vya katiba ambayo sote tumeiona haifai, kutengeneza katiba...
Mara nyingi nimeona TBC1 wakiwaalika wabunge wa CCM na CUF katika kipindi cha Jambo Tanzania na mara nyingi Wabunge hao wamekuwa wakijaribu kujibu hoja zilizotolewa na CHADEMA Bungeni na kutoa...
Ni Tetesi but will soon be confirmed:
baada ya kupima kipima joto cha nje ya bunge, madam spika ameumwa sikio na baadhi ya vingunge wa magamba atoe muda kwa madam waziri ili apate muda...
Nimefuatilia kwenye kipima joto wanaowaunga mkono wabunge wa Chadema kutoka nje ya Bunge wamefikia aslimia 75 na waliosema sio ni kama 24 hivi kama sikose.
Sasa tuje kwa wananchi. Imanii yangu ni...
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM...