KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

hivi dhamila ya dhati ya kuhakikisha tunapata katiba mpya utafanikiwa? aliye waza mapema hivi kuwa mjadala wa katiba mpya usijadili baadhi ya mambo ambayo niyamsingi kwa watanzania na ndiyo yanayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni maneno gani aliyoyaongea ndugu tambwe hizza mpaka kusababisha watu wamzomee vile? Ningependa kuyajua maana niliona kwa kifupi sana kwenye habari ya TBC jana usiku.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa jinsi ambavyo Muswada wa Katiba uliosomwa kwa mara ya kwanza bungeni jana tara 05 Aprili 2011 ulivyokuwa na mapungufu makubwa ikiashiria kuwa upo mzaha katika maandalizi yake. Hali hii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari sana, tena kwa kina, Nionacho mimi, ni CCM kupinga kuandikwa kwa katiba mpya Tanzania. CCM ndio wanaojaribu hata kushawishi watanzania wasiolelewa katiba wasiunge mkono...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi sikumuelewa waziri wa sheria na katiba leo asubuhi(tbc 1) alipokuwa kijibu swali "kwa nini muswada untoa maeneo amabyo wananchi hawatakiwi kujadili?'' katika majibu yake alisema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf hebu tuanze kuijadili katiba iliyopo kama kweli tunaijua. Maana wengi wanasema tu katiba mpya wakati hata iliyopo hawajui. Katiba ya marekani imetungwa 1786 na zimefanyika amendment 26 tu...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Mchakato tunaotaka kuanza ni wa mabadiliko ya katiba ili kuunda mpya...hili linapaswa kufanyika kwa kui-asses katiba tuliyo nayo ss kipengele kimoja baada ya kingine ili km kunaonekana kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huwa nasikiaga wanajitapa namna iyo. kwamba wao ni chama rafiki cha ANC cha gwiji Madiba. lakini nimeshituka niliposikia wanmekopi katiba ya kenya. kwa nini? why kenya? kwa nini wasikopi ya rafiki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa kuwa niko mbali na siwezi kuwahi dsm au dodoma, na kwa kuwa spika amekataa kuwaruhusu wabunge kuja kwenye majimbo yao ili tuujadili huo muswada, nimeona nitoe maoni yangu katika forum hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hoja ya Katiba imeibuliwa na wanasiasa kipindi cha Kampeni Mwakajana. Hatimaye hoja ikaungwa mkono na wananchi baada ya kuelimishwa umuhimu wake. Faulo iliyofanywa na serikali kufinyanga matokeao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimesoma maoni mengi sehemu tofauti tofauti kama kwenye mitandao na kwenye magazeti machache kwamba mtu wa propaganda wa CCM,Tambwe Hiza, ni mweupe kabisa kichwani. Nilikuwa sijaamini sana lakini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo tarehe 7 April, tukio muhimu lilikuwa ni wananchi kutoa maoni yao kuhusu Mswada wa kutunga sheria ya kutunga katiba mpya Tanzania. Binafsi nilitarajia kuona live coverage ya angalau tv...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena tunashuhudia jinsi serikali yetu isivyo na vipaumbele, suala la katiba ni suala la haraka lakini siyo kwa namna ya dharura ya serikali. Muswada ambao tunatakiwa tuujadili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona Star TV wanarusha Live matangazo ya maoni ya Katiba Mpya kwa kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria kutoka Dodoma. Wameanzia Mazungumzo Studio Jihabarishe. ---------------- Update...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Na Maggid Mjengwa, NAUONA mwelekeo mbaya wa upepo wa kisiasa nchini mwetu. Nina shaka kubwa, naamini, tuko wengi wenye shaka na mwelekeo wa nchi yetu tunayoipenda. Prince Bagenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wa-Tanzania wenzangu, serikali imetoa tamko kwamba itakamilisha mswaada wa sheria ya kutunga katiba mpya ya Tanzania hapo April 2011. Sheria hii ni muhimu sana kwani pamoja na mengine, itaainisha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MWALIKO WA WADAU KUTOA MAONI MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA SHERIA NA UTAWALA BORA KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA YA NCHI (THE CONSTITUTIONAL REVIEW BILL, 2011) Kwa mujibu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WITO KUSHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAZI WA MUSWADA WA KATIBA KESHO KARMJEE HALL . Wito unatolewa kwa kila mpenda maendeleo na mpenda Nchi yetu kesho tarehe 07/04/2011 ahakikishe kuwa anawezaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana kwa mara ya kwanza serikali iliwasilisha rasimu ya muswada wa katiba mpya bungeni, kwa mshangao mkubwa viongozi waliopinga na kusema serikali haina pesa ya katiba mpya ndio aliyesimama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…