Eet, inasemekana maamuzi ya rais kumtoa babu seya kavunja katiba ya nchi kwasababu babu seya alikuwa kasha thibitishwa na mahakama kama ni anaatia, so nini maoni yako??
Siasa za Tanzania ni siasa za ajabu sana kuliko nchi yoyote ile. Tulianza vizuri na zoezi la katiba hatimaye bila mafanyikio. Tulianza na bwebwe za kukusanya maoni ya watu ili tuandike katiba yetu...
Bila katiba mpya , hakuna uwezekano wa upinzani wala! ananchi kushinda dhidi ya ccm. Tatizo kubwa katiba ya sasa iliongezewa kipengere cha vyama vingi bila kuvunja vipengere vilivyo kua chini ya...
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
HAKUNA MWANACHAMA WA KUDUMU WA CHAMA CHA SIASA.
Na Kibona Dickson(mchambuzi huru)
Aliyekuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, Patrobas Katambi ameondoka chadema na kuhamia CCM .Laurent Masha ameamua...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA
WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
UTANGULIZI
1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba...
Toleo hili la Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sheria Namba 8 ya mwaka 2011 limezingatia na kuweka pamoja mabadiliko yote yaliyofanywa katika Sheria hii tangu ilipotungwa mwaka 2011 hadi tarehe 28...
Heshima kwenu wakuu,
Baada ya kukamilisha kazi ya kuandaa Rasimu ya Awali ya Katiba, Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilichapisha na kusambaza Rasimu ya Katiba katika maeneo yote nchini na katika...
Heshima kwenu wakuu,
Hiki ni Kijitabu kidogo kilichoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa ajili ya Elimu ya Uraia kwa Watanzania wote. Kitabu hiki kinaelezea Rasimu ya Pili ya...
Nimeisoma Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, nimeisoma yote, ni bahati mbaya inapigiwa upatu kwamba imebeba mambo ya wananchi, mambo ya wakulima, wafugaji, wavuvi, vijana na kadharika. Jamani hayo...
Si sahihi sana kuhusianisha katiba iliyopo na kukwama kwa maendeleo ya nchi katika nyanja mbalimbali ikiwemo maendeleo ya viwanda kwani yapo mambo kadhaa ambayo kwa pamoja huzonga zonga ukuaji na...
Habari wana jukwaa.
Lengo Mimi ni Kuuliza tu...
Mm ni mwananchi wa kijijini huku ninayejishughulisha na Kilimo cha mazao ya biashara...
Hivi Hiyo katiba mpya wanayoililia watu Hasa wanasiasa...
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.
Chanzo:Nipashe
Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya...
wasalaam, watanzania kwa jumla wakuu pamoja na wana jf poleni kwa majukumu,moja kwa moja katka mada-tulivo amua kuleta rasimu ya katiba mpya tulikua na kusudio gani? na kwa sasa mchakato huu...
Uhuru wa mtu kutoa maoni kwa jambo analoliamini ni haki ya kila mtu isipokuwa tu pale haki hiyo inapoonekana kuvunja haki nyingine za msingi za watu. Uhuru wa kutoa maoni au kujieleza ni haki...
Utangulizi Mchakato wa kurekebisha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulianza baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Vyama viwili vikuu vya upinzani nchini, CHADEMA na CUF ndivyo...
Baada ya mdahalo uliokusanya Itv juu ya wananchi kujua nani anataka kuwazuia watanzania kupata katiba Mpya.
Je sasa unaweza kutoa jibu ulilopata?
Karibu....
Matamanio ya watanzania wengi ni kuwa na katiba bora itakayoweza kusimamia rasilimali za nchi na kuhakikisha zinamnufaisha kila mwananchi na kuwa na ustawi mzuri wa jamii.
Licha ya matamanio hayo...