Ni muda muafaka sasa watanzania tupiganie katiba mpya. Bra shaka sasa kila mtanzania ameshapata funzo kutoka uchaguzi unaoendeea kenya.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Mheshimiwa Magufuli wakati umekuwa kinara wa kuwataka wananchi wote kuweka maslahi ya Tanzania mbele hebu itendee haki nchi hii kwa kuweka maslahi yake mbele na kufanikisha mchakato wa katiba...
Rais Jakaya Kikwete amevunja rasmi tume ya kukusanya maoni ya katiba iliyokuwa ikiongozwa na Jaji Joseph warioba. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la serikali namba 81 la Machi 21 mwaka huu.
====...
Watanzania wenzangu, kuna mengi ya kusikitisha yanayoendelea ndani ya nchi yetu na kubwa kuliko yote ni ukiukwaji mkubwa wa haki za msingi za raia wa taifa hili. Haki hizi ni zile zilizoorodheshwa...
Wadau,
Tangu upigaji kura wa rasimu ya katiba kuanza, nimegundua kuna hivi vyombo viwili vya habari vya kimataifa (Radio) vimekua na misimamo tofauti.
Huku DW ikituhabarisha kile kinachoendelea...
Ibara hii inazungumza kuhusu haki za mfanyakazi pamoja na muajiri wake pamoja na wajibu wa vyama vya wafanyakazi.....nadhani ibara hii ingeongeza wigo mpana zaidi wa haki za wafanyakazi na iwe...
Sisi wote ni mashahidi nchi hii ipo hapa ilipo kwa sababu ya kuwa na katiba ya hovyo ambayo hailengi usimamiz bora wa rasilimali pamoja na rasilimali watu.
Kiongozi yeyote hasa nafasi ua URAIS...
Wengi walifikiri watakaopata faida na katiba mpya ni kundi la kina fulani wapinzani. Wakati mijadala ilikuwa ikisisitiza katiba ni ya watanzania wote wanasiasa wa upande ule waliaminisha watu kuwa...
Tangu ilipotelewa rasimu ya mabadiliko ya katiba iliyoongozwa na jaji warioba na kufikia kuundwa bunge la kuijadili,rasimu hiyo ilionekana kama ndio suluhisho la wengi na kilio kimepatiwa ufumbuzi...
Weka katiba ya vyama vyenye mashabiki wengi Tanzania hasa CCM,CHADEMA,CUF ,,,,,pia na ilani zao za 2015-2020,,,,,,tuzichambue hapa na hasa ilani zao ndo zchambuliwe tuone zipi kweli zina lengo la...
Kilio kikubwa sasa hasa kwa wapinzani na wananchi wengi ni Mabadiliko ya katiba.
Ila sheria tulizojiwekea tukisema kesho asubuhi zifuatwe zote Bila kukwepwa 100% itakuwa ni kilio Kila kona na...
Napenda kujadiri:- Haya malumbano ya kila mmoja mwenye wadhifa kutoa matamko yake bila kuzingatia taratibu yanatokana na mamlaka kubwa wanayokabidhiwa na idadi ndogo ya watu anaowajibika kwao...
Neno uzalendo linanichanganya,
Walioko madarakani na wenye mamlaka wanapenda kuwaita walio pembeni si wazalendo,na kila wakati wanawasihi wawe wazalendo
Je lengo lao ni kututaka tuwe wazalendo...
Nimemsikia Frederick Sumaye akisema Serikali tatu ni mzigo kwa Tanzania ambayo uchumi wake si mkubwa. Anasema hata waasisi wa Muungano waliliona hilo. Amezungumza akiwa Afrika Kusini.
chanzo: BBC...
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema kwamba kinalidhishwa na utendaji kazi wa Rais Magufuli na kumpongeza jwa kazi yake nzuri.
Pia wamempongeza Rais kwa ishu ya makinikia na kutaka siasa...
Wakati wa utawala wake wa awamu ya 4 Rais wa wakati huo, Jakaya Kikwete aliamua kuunda Tume ya kuratibu maoni ya wananchi ili Taifa lipate Katiba mpya.
Wakati anakabidhi majukumu hayo ya kuratibu...
Rais Museveni amekataliwa na chama chake NRM kubadilisha katiba ili serikali iwe na mamlaka ya kunyakua ardhi toka kwa watu kimabavu.
Wabunge wa CCM jifunze kutoka kwa hawa wenzenu.. maana...
Wakati WA uchaguzi mkuu ,Chadema waliungana na vyama vingine katika mwamvuli WA ukawa. Kikiwemo CUF. tLP nk. Muungano huu unafahamikanzaidi kwakua Unatetea katiba mpya.
Inashangaza kuona wana CCM...