KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Inategemea kwako unatafsiri vipi, binafsi ingawaje mimi siyo Mtaaalamu wa mambo ya Katiba lkn hainiondolei uwezo wa kujua kwamba yalioandikwa kwenye Katiba ya Nchi au yoyote ile, inategemea na...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Udikteka huwa kama hivi, Akisema yeye au wao ni sahihi, wakisema wengine ni Uchochezi, na haya maneno ya uchochezi huwa kwenye Serikali za Kidikteta, Dikteta hulitumia hili neno kufanikisha...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi naomba tuweke huu uzi hapa kwenye kibandiko ili ukisubiria kuona kiongozi atakaye kuwa wa kwanza kubadili Ibara ya 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuondoa ukomo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni...
1 Reactions
84 Replies
10K Views
Sote ni mashuhuda wa jinsi katiba yetu ya sasa, ambayo ina madhaifu mengi sana, inavyosiginwa with impunity na serekali ya CCM kupitia viongozi wake. Sote ni mashuhuda wa jinsi ambavyo kwa miaka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau inaonekana tunafanya jambo moja katika level ya vyama lakini katika level ya taifa hatujatilia manani jambo hilo. Nadhani ipo haja ya kuondoa kipengele cha Rais wa Jamuhuhuri ya muungano...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wana jf naomba mnikokotolee hii hesabu inayoongelewa mjengoni kwamba isipo kidhi thelusi 2 au 3 katiba mpya haitapatikana. Je wataalam wa hisabati hebu nisaidieni hapa hii hesabu iko vipi? Ili...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wadau salam, naomba nitoe ushauri wangu kwa wanasiasa wanaohusika kwa maslahi yao na ya nchi yetu kwa ujumla. Kiongozi/mwanasiasa hasa katika ngazi ya Ubunge/udiwani, kazi yake kubwa ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Dodoma/Dar. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
326 Replies
39K Views
Hizi kelele za kutaka sijui Raisi aongezewe muda huenda ni mbinu tu za kutaka kutumia mwanya wa kufanyia mabadiliko katiba inayopendekezwa kwa lengo la kuongeza muda/vipindi vya Raisi kugombea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Lukuvi aishukia Ukawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amewashukia wajumbe wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliogomea kuendelea na...
1 Reactions
81 Replies
14K Views
Ndugu wana Jamvi naomba sasa tuwe serious /makini na Nchi yetu kwa faida yetu na ya vizazi vijavyo. Tunahitaji kujenga Nchi yenye Matumaini kwa kila Mwananchi bila kuhitaji huruma za viongozi...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
ASKOFU mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Blaston Gaville, amemuomba Rais Dk. John Magufuli kumalizia mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ulioachwa na...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu hebu tuliweke sawa hili! Hivi tunapolilia tume huru ya Uchaguzi bila katiba mpya iili mambo yakae sawa hasa wakati wa uchaguzi tunamaanisha nini? Inawezekanaje tume ya Uchaguzi iwe huru...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza nimefurahishwa na uamuzi wa Rais Kikwete kuhusu uamuzi wake wa kuhakikisha kwamba tunakuwa na katiba mpya.Hii inajenga msingi imara wa maendeleo ya demokrasia pamoja nauwajibikaji wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mbona Tanzania tunawasomi wengi ...naona mijadala yote ni Chenge...kikwete...mkapa... Karamagi...accacia.... jamani... hiki ni kipindi kizuri cha kudai katiba mpya ... lazima watanzania...
0 Reactions
5 Replies
943 Views
Rasimu ya pili ya katiba ya Warioba ilipendekeza ili kudhibiti uingiaji mikataba mibovu kabla ya kusaini mikataba inabidi ikajadiliwe bungeni, ili kuiponya nchi kwa muda mrefu hata usipokuwepo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mhola mhola.. Natumai mko salama mkitafakari na kujadili kwa umakini ripoti iliyotolewa leo juu ya makinikia, iliyolenga zaidi masuala ya kiuchomi na kisheria. Moja kati ya mapendekezo ya kamati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisikiliza hotuba ya JPM ya kumwapisha Mama Anna Mghwira kuwa RC wa Kilimanjaro. Hapo utagundua huyu rais anapandikikiza chuki kwa jamii na kuona kwamba huyu rais anachukulia upinzani ni uadui...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii forum,kama tunataka kama taifa kuondokana na mikataba mibovu ya madini,inayoleta hasara ikiwemo ishu ya mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje.Dawa ni kuwa na katiba MPYA Siku hiyo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…