Ndugu zetu Wakenya mnapoenda kwenye uchaguzi mwaka 2022 chagueni mtu mwenye maono makubwa ya mbele sio mzee mfahidhina anayewakilisha mawazo butu ya Africa ya kale.
Raila Odinga ni mzee...
Aibu yake kubwa ni mbele ya Uhuru Kenyatta. Uhuru Kenyatta amembeba sana, serikali ya Kenyatta imembeba sana!! Ruto akapakwa matope hadharani na mkuu wa nchi kuwa hawezi na hana jipya maana...
Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu...
Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi.
Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani...
Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa masaa kadhaa
Hadi kufikia leo saa 6:30 mchana Odinga alikua na kura 6,431,752...
Daniel Musyoka aliyekuwa afisa wa tume ya uchaguzi nchini Kenya alipotea siku nne zilizopita akiwa katika chumba cha majumuisho ya kura, alisogea pembeni kidogo kuzungumza na mtu ambae...
Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema Ushindi wake ni halali na kwamba wale Makamishina wanne waliomkataa hawana nguvu hiyo Kikatiba.
Asema Katiba imempa mamlaka Chebukati kutangaza mshindi na...
Haya mambo msichukulie kirahisi.
Si mmeona chebukati hajasema eti wananchi wanataka maji na blah blah nyingine, si mmeona usalama wao wa taifa hawaingilii lolote kuanzia ngazi za chini hadi juu...
President-elect William Ruto says he is yet to have a conversation with outgoing President Uhuru Kenyatta. Mr Kenyatta had backed his rival, Azimio leader Raila Odinga, in the contest for Kenya's...
Watanzania tumekuwa tukililia sana kuwa na Tume huru ya Uchaguzi. Hivi majuzi Kenya wamefanya uchaguzi wao na karibu asilimia kubwa tumewapongeza kwa kufanya uchaguzi wa wazi kabisa na...
Azimio La Umoja coalition Deputy Presidential candidate Martha Karua has expressed intention to challenge President-elect William Ruto’s victory in the just concluded elections.
Taking to social...
Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi.
Ugandans are Kenyans are brothers.
Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language.
Its...
EATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu
Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana...
Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ameendelea kuongoza kwa umaarufu kuliko wagombea wenzake katika Jiji la Nairobi, Kenya akifuatiwa na mgombea wa Kenya Kwanza...
Naona unacheza faulo za kila namna kwa washindani wako hata wale unaohisi wataleta ushindani
Sasahivi nasikia huaminiani sana na uhuru kwani anaweza kukugeuka lakini unatumia nafasi yako...
Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui
Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas
Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa...
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dkt. Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu...
Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.
Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.
Nadhani...