Inakuwaje wanajamvi!
Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi.
Ruto ndie mtu sahihi...
Siasa Sio Urafiki, Kingi Amjibu Raila Kuhusu Madai ya Kumsaliti"
Amason Kingi, amemtuhumu mwaniaji urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga kwa kuwasaliti Wapwani
Kingi alipuuzilia madai...
Wakuu Kupita kwenye daraja hili ni shilingi elfu 7 ya Kitanzania Huko Nchini Kenya.
.
Wakenya wanaamua kupita kwenye njia yenye Msongamano ili kukwepa gharama hizo!
.
Kenyata anaupigaje Mwingi...
Kwa mwendo huu tu...
======
A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year.
The state-owned shipping line, the Lignes...
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city.
Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO.
Biashara hii...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022.
Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini...
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania...
Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao.
======
Mombasa port...
Spika Justin Muturi amebainisha kwamba hana malengo ya kuhudumu tena katika cheo hicho katika Bunge la litakaloundwa baada ya uchaguzi mkuu
Kwenye kikao na wanahabari, Muturi halikadhalika...
Awali alikuwa ameeleza kuwa atakuwepo kwenye mkutano wa Azimio la Umoja One Kenya Allance kwa vile chama chake cha Wiper, kinamuunga mkono Raila Odinga
Hata hivyo alipowasili alivamiwa na vijana...
Wakuu Leo Tume ya mishahara Kenya (The Salaries And Remuneration Commission) imeondoa posho za vikao kwa wabunge 416 ili kuokoa Shs. 7.7 bilioni .
.
Wakati huo leo katika bunge la Tanzania, kuna...
Wawaniaji huru wa urais walidokeza kuwa watamchagua mmoja wao, ili awawakilishe kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti 9, kwa minajili ya kuboresha nafasi zao za kuteuliwa
Haya yanajiri baada ya Afisi ya...
Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy
Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000...
Kama kawaida yao hawa majirani huchelewa kwenye vyote, hutucheka kila tunapothubutu ila baadye huishia kufuata nyayo zetu, wameanza mipango na jitihada za kufumua mfumo wao wa elimu maana...
Hakimu awachia huru wanandoa baada ya kuiba beli la unga wa ngano. Hatimaye alifanya mchango wa dharura mahakamani kusaidia wanandoa hao. Aliwapa onyo wasirudie kosa.
=======
The high cost of...
Huyu Morris Mbetsa nimemfuatilia kwa muda mrefu tangu zamani alipokuwa amevumbua car tracking device na speed governor hadi sasa ambapo amefungua factory ya kutengeneza electronic circuit boards...
Ukiiangalia hii video toka mwanzo hadi mwisho utakubaliana nami, huku ndo Africa tunafaa kuelekea, mambo ya kutegemea China kwa kila kitu tuache, imagine kitu rahisi kama router ya mtandao wa 4G...
Tanzania's Smart Codes hires African corporate leader
WEDNESDAY MAY 11 2022
Dar es Salaam. Tanzanian firm, Smart Codes, a Smart Africa Group subsidiary, has appointed one of the continent’s...
Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya.
Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for...