Kiongozi wa Chama cha Wiper Democratic Movement, Kalonzo Musyoka amerejea katika Umoja wa Azimio ikiwa ni wiki mbili tu tangu alipotangaz akujiondoa na kusema kuwa yupo tayati kumuunga mkono...
Rais mstaafu mzee Mwinyi aliwahi kusema Kazi iliyowashinda marais watatu yeye Mkapa na Kikwete kwa miaka 30 Magufuli ameifanya kwa miaka mitatu tu.
Jana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema...
Deputy President William Ruto Tuesday opened a new war front with the State over what he says is abuse of intelligence information and services to the advantage of his main competitor, Mr Raila...
Picha: Mwanamuziki Luciano
Mwanamuziki mahiri wa reggae kutoka Jamaica na mshindi wa tuzo nyingi 'Luciano', jina halisi Jepther Washington McClymont amewasili nchini Kenya, kwa ajili ya tamasha...
The government will not shut social media sites before, during and after the elections, Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i has said.
The CS, who admitted that there was an escalation in...
Katika utafiti uliofanywa na Odanga Madung, mtafiti kutoka Taasisi ya Mozilla, ulibaini kuwa watumiaji wa TikTok nchini Kenya wanaonyeshwa video ambazo ni za matusi, zinazochochea vurugu au habari...
Acheni Raila awe rais ale bata.
Mapito ya kisiasa ya Raila Odinga:-
Alituhumiwa kwa kikundi cha vuguvugu cha MWAKENYA 1980 kilichochagiza mabadiliko ya mfumo wa siasa za Kenya kutoka kuwa za...
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO...
Kenya! Kenya!
Nawakumbusha tu hatutaki mtuletee shida, hatutaki Raia wateseke, Wakenya wanahitaji amani na utulivu waendelee kuchapa kazi zao.
Naona Ruto kaanza mara ataibiwa kura na kasema deep...
Mgombea urais na kiongozi maarufu wa muungano wa Azomio Raila odinga amewahaidi wakulima kuwa atazuia uingizaji wa mahindi toka nje ya nchi. Na ikumbukwe kuwa mahindi mengi yanazalishwa na kuuzwa...
Raila Odinga, the Azimio-One Kenya presidential candidate, has slammed his rivals for rigging claims in the race for the country's top seat in the August elections, claiming that his victory is a...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa.
Kenyatta...
Seneta Cleophas Malala alidunisha kazi ya polisi mbele ya maafisa waliokuwa wakilinda kampeni zake
Afisa mmoja aliyekuwa akilinda gari lililokuwa limewabeba Mudavadi na Wetangula alishindwa...
Wakuu Rigathi amejitoa sana kwa Ruto,
.
Amepitia mengi,
.
Pia Ana uwezo mkubwa wa kuzungumza, kumobilise, uzoefu, anaijua nchi na namna ya uendeshaji wa Serikali.
.
Ana uwezo wa kifedha pia hivyo...
Mgombea binafsi ni yule ambaye hatumii tiketi ya chama chochote ili kuweza kugombea nafasi ya kisiasa kama Urais na Ubunge. Kenya Walipitisha sheria hii March mwaka huu na wameidhinishwa wagombea...
Dhana ya ugombea binafsi ni tamu masikioni lakini chungu kutekelezeka. Kenya yenye sheria hiyo imetoa ushahidi, funzo na alarm kwamba ni dhana ngumu kutekelezeka baada ya IEBC na wapigakura...
Wagombea wa vyama vikubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya 2022 wameweka wagombea-wenza (Running mates) toka kabila kubwa la Wakikuyu.
Aidha, mgombea-mwenza wa Kenya Kwanza Mhe. Rigathi George...
@ProfPLOLumumba prediction of "politics of hygiene" he thought @RailaOdinga lacked has afterwards made PLO a pseudapostle as a multimaterialist-Baba is poised for MAGUFULIFICATION OF HIS KENYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.