Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.
Nampongeza na...
Hii tume ya Uchaguzi ya kenya haina mlinganisho, NEC ni pure CCM na kama NEC ndo itaendelea kwa muundo huu wa sasa bora wakashiriki CCM wenyewe, kwa kifupi hatuna tume tuna branch ya CCM inayo...
Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya imeahirisha uchaguzi wa gavana wa Mombasa na Kakamega pamoja wabunge wa Kacheliba na Pokot Kusini baada ya karatasi za kupigia kura kuonekana...
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini.
Lakini ilipowadia muda wa wagombea hao kuwasilisha maombi...
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imesitisha Uchaguzi wa Ugavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa, kutokana na makosa ya uchapishaji kwenye karatasi za kupigia kura
Pia, Uchaguzi wa Wabunge...
Wasimamizi 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wamefukuzwa kwa madai ya kukutana na Mgombea nyumbani kwa mgombea huyo huko Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay
Maafisa hao wanadaiwa walikuwa katika...
Kampeni za uchaguzi Kenya zimemalizika rasmi jana lakini wataalamu wa siasa wanahofia juu ya hatari kutokana na taarifa potofu zinazochapishwa mitandaoni na wafuasi wa wagombea wakuu.
Benedict...
Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta...
Viwanda za Western zitarudishwa. I learned from my late brother
@MagufuliJP that sometimes you just show up unexpected. My impromptu visit to Mumias Sugar today confirms that industries will be...
Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa...
Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022.
Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini...
Mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga.
Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video...
Rais mstaafu Dr Kikwete ataongoza kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya
Chanzo: ITV
--------
Jakaya Kikwete is head of mission to Kenya
Source: KTN...
Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi...
MY TAKE; Hahahaha sababu GDP ya Kenya ni kubwa kuliko GDP zote duniani.
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
RAILA ODINGA AWAJIBU WANAODAI HAWEZI KUONGOZA NCHI KUDAI HAJATAHIRIWA
"Baadhi ya watu wanasema siwezi kuwa Rais sababu sijatahiriwa. Ninajiuliza Walijuaje kuwa sijatahiriwa?” Raila Odinga"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.