Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Ni me observe uchanguzi wa Kenya unao fanyika sasa hivi nchini mwao, ni hatari sana ku chochea mapigano ya wanyewe kwa wenyewe, kila mtu anapiga kura kulingana na kanda au kabila lake sio kwa hoja...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Naona wanaharakati wa nchini kila mahali ni kusifia kenya na kuiponda Tanzania. Hizi vurugu ni za lini?
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu saba wamefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali eneo la Longeld, Samburu Mashariki. Watu zaidi ya 15 walikuwa wanaenda kukutana na Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati. Vyombo vya habari vimeonesha...
1 Reactions
6 Replies
949 Views
Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Jeshi la polisi limewakamata wasimamizi wa Uchaguzi kutoka jimbo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa baada ya kukataa kuhesabu kura Waliwekwa chini ya ulinzi kwa kuhujumu mchakato wa kuhesabu kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake. Wale...
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Karani wa uchaguzi katika eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, Kaunti ya Nairobi, alikabili ghadhabu za wapiga kura walioshutumu kwa udanganyifu katika uchaguzi. Afisa huyo anadaiwa kumpa mpiga...
1 Reactions
4 Replies
694 Views
Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea. Waziri...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya kukutwa wakifanya mkutano wa siri. Maafisa hao wamekamatwa katika kaunti za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika. "Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Raia 11 wamesema uapisho wa William Ruto na Rigathi Gachagua utakua ni ukiukwaji wa Katiba ya Nchi yao hivyo kuwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu nchini humo kuzuia kuapishwa kwao iwapo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom