Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali...
Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji...
It is time to put things to end now, lets give an account of progress for these two projects! No more time for mere yaps...
CC: Tony254, joto la jiwe, NDINDA n eliakeem
Moderator plse pin...
The Kenya Ports Authority (KPA) has officially operationalised the Sh32 billion Container Terminal 2 with a first ship docking with 2,704 twenty-foot-equivalent units (TEUS) on Tuesday.
The...
Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya...
Hivi karibuni, BBC News Afrika imeripoti kuwa TikTok inanufaika na matangazo ya moja kwa moja ya maudhui ya kingono yanayofanywa na vijana kuanzia miaka 15.
Wanawake watatu kutoka Kenya wamesema...
Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund"
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha...
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari...
Queen Elizabeth II's 1972 Kenya Stopover: A Pivotal Moment in Post-Colonial Diplomacy
Queen Elizabeth II's brief stopover in Kenya during March 1972 represented a critical juncture in...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya...
Hatimae sakata la comedy kati ya wanaume wawili
Halmashauri ya Nairobi
Na kampuni ya umeme ya Kenya
Rais Ruto ameingilia kati na kuaguza umeme urudishwe HALMASHAURI
Na halmashauri ya jiji la...
Now some of individuals brag a lot about Nairobi quality facilties without knowing Zanzibar Island has relative the same quality facilities. It's time to make this known.
Hii inaitwa ubaya ubwela
Mwosha. Huoshwa
Yaani
Kampuni ya umeme Kenya inadai HALMASHAURI WAKAKATA UMEME
Nao WANADAIWA KODI na HALMASHAURI mashallah wakamwaga UCHAFU MLANGONI
Hii n ubaya...
WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi...
SIASA mchezo machafu sana sanaa
Dah MH aliapa hakuna mkate Tena Wala kugaiana vyeoooo
Leo amekutana na mwamba
.baba RAILA amesema wamekubaliana kuunda serikali ya UMOJA kabla ya April
Hii...
The difference starts right at Namanga.
Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ
TZ Roads are...
Wakuu,
Huko nchini Kenya mambo yameendelea kuwa ya moto.
Hivi karibuni ripoti ya Hazina ya Taifa imeonyesha kuwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2024, serikali ya Kenya ilikopa jumla ya...
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati...
Kwa Sasa Siasa za Tanzania ndio zinatawala ukanda wa Africa mashariki na nchi zote wanaiga CCM
Kenya Sasa kivitendo wako bado na katiba yao ya Zamani
Mlale unono 😄
Wakuu,
Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana.
Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.