Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.
Haha baadhi ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school...
Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni...
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia.
Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya
Jumatatu, Bw...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya (KAA) inashughulikia tukio la moto uliotokea kwenye sehemu ya nyasi zinazozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).
Timu ya pamoja ya...
BREAKING NEWS
Taarifa zilizonifikia muda huu hapa zinaonesha kwamba Sehemu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya (JKIA) unawaka moto.
Moto unaonekana kutoka upande wa...
Hawa ndiyo watu wanalinganishwa na KDF.
Angalia formations na services za KDF peke yake na uniambie kama Tanzania Army is on the same level.
capabilities my friend.
The Kenya Army is made up of...
Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona...
Rufiji Hydropower Project
The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
Aliewahi kuwa Makamu wa Raisi wa Kenya,
Mh.Kalonzo Musyoka amfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu, marehemu Daniel Kimanzi!
Umegundua nini kwenye hii picha?
Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana...
Huyu mzee Raila Odinga anafahamika sana kwa fitina na kuharibia wenzake.
Yani ana roho ya uharibifu sana, uchonganishi na majungu.
Ni yeye kamuharibia Rigathi Gachagua. Machozi ya Gachagua...
Kenya's Foreign Affairs secretary Amina Mohamed. PHOTO | DIANA NGILA
By PATRICK LANG’AT
Posted Monday, October 3 2016 at 13:25
IN SUMMARY
The post became vacant after the expiry of term of...
Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine...
Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya...
Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya.
Netblock imedokeza kuwa...
France-Kenya: Kenyatta mounts Paris seduction operation for WTO
By Rémy Darras
Posted on Monday, 5 October 2020 10:44
Meeting between Emmanuel Macron and Uhuru Kenyatta, in Paris, on October 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.