Mwanamke mmoja nchini Kenya Grace Njoki Mulei, mwenye umri wa miaka 61, ameripotiwa kutekwa nyara Alhamisi mchana akiwa katika Hospitali ya Ladnan, Eastleigh, alipokuwa akiendelea na mchakato wa...
Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama.
Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani...
https://www.youtube.com/watch?v=J8egAFLzxsA
Siku mbili baada ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kutoa rai kwa vijana nchini Kenya kupigania haki zao na utawala bora nchini Kenya, Rais William Ruto...
Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno...
Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa...
KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia...
Familia moja katika eneo la Saika, Nairobi, iko katika majonzi kufuatia mauaji ya kikatili ya mtoto wao, Conrad Nyabuto, mikononi mwa mpenzi wake aliyeachana naye mwezi uliopita.
Zaidi ya maumivu...
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo.
Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na...
Wakuu,
Kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amemtaka Rais William Ruto kujiuzulu kufuatia wimbi la hivi karibuni la utekwaji nyara, likiwemo tukio lililomhusisha Waziri wa Huduma za...
Wakuu,
Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri.
Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea...
Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia...
Huku kwetu tunaita wasiojulikana
Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana
Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa...
Watu watatu akiwemo dereva bodaboda mmoja na abiria wake na mwalimu, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ndege ndogo, tukio lililotokea katika Kijiji cha Kwachocha, Malindi nchini Kenya...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana.
Rais Ruto alimteuwa Novemba 19...
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema hana shida na baadhi ya Wakenya wanaomuita "Kasongo," jina la wimbo maarufu, ambalo limekuwa likitumika kama utani kwa baadhi ya watu wanaomwona kama mtu wa...
A Haven of Grace, a Lifeline for a Species: Giraffe Manor’s Story of Hope and Transformation
In the heart of Kenya, where acacia trees sway in the golden sunlight and the call of birds mingles...
Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpiuza.
Wakenya ni wakimbizi kwenye...
Ripoti ya usalama wa nchi ya kenya ya mwaka 2024 imeonesha kuwa kuna matukio zaidi ya 7,100 vya ukatili wa kijinsia yaliyorekodiwa tangu Septemba 2023.
Miongoni mwa matukio hayo, kesi 100 za...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali
Kwenye ripoti yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.