Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria...
0 Reactions
6 Replies
586 Views
Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi. Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo...
3 Reactions
11 Replies
357 Views
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa...
1 Reactions
8 Replies
574 Views
President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Aliyekuwa Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Rigathi Gachagua, amesema kuwa kuna kitengo cha siri ambacho kinapanga utekaji nyara wa vijana ambao umekua ukiripotiwa nchini humo, ambapo watu 7 wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
383 Views
Kenya nini kinaendelea huko majirani? Caren Atieno Muga, aliyekuwa MCA mteule wa Kaunti ya Kisumu, amekamatwa baada ya kuhusishwa na sakata ya uvunaji na uuzaji wa viungo vya binadamu. Bi. Muga...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Hapo nchi jirani Hali ya Utekaji inatisha Wananchi wamemwambia Ruto awaachilie watoto Wao Lakini Yeye naye ashangaa hii Teka Teka awataka Wananchi wambane IGP kwani katiba inatamka ndiye Mlinzi...
6 Reactions
22 Replies
699 Views
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu. 1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000. 2. Malipo ya...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
TATIZO la kwanza dhidi ya amani ya nchi kwa sasa limetajwa kuwa ni uongozi dhaifu, ambao umekuwa ukisababisha kusuasua katika usimamizi wa haki wa sheria za nchi na kuibua ombwe kubwa la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi Kenya will paul ana Alburm ngapi ?
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Vuta kiti, uketi. Kisha agiza popcorn ya kutosha ukipitia mkasa huu wa ajabu. Ndani ya siku mbili tu, tarehe 25 na 26 ya mwezi November, miili miwili ya mume na mke iliokotwa sehemu tofauti ikiwa...
20 Reactions
61 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 39 amefariki Jumatatu asubuhi baada ya kushambuliwa na mbwa wa mwajiri wake, alipokuwa akifanya kazi zake za nyumbani katika eneo la Moriema mjini Malindi...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Serikali ya Kenya nayo imeamua kuinga toka Tanzania, kuwa na mradi wa Rapid Bus Transport(BRT) ijengwe Nairobi Kenya. Mradi wa Kenya inaelekea utakuwa mkali zaidi kwa kuwa na mabasi ya umeme...
3 Reactions
7 Replies
512 Views
Mradii huu unajengwa kutumia loan ya $1 Billion kutoka WB ambapo nusu yake iko Kenya. Tazama video inayoonyesha ujenzi umekamilika hadi mpakani mwa South Sudan...
3 Reactions
10 Replies
493 Views
Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Askari wawili wa Jeshi la Polisi baada ya kukutwa wakichinja ng’ombe ambaye aliripotiwa kupotea katika Kituo cha Polisi cha Kaptagat. Askari hao, Chrispus Butali na Samwel Mbugua Njuguna...
1 Reactions
0 Replies
459 Views
In a desperate effort to make money, some city women are baring it all in front of cameras as they seek to excite paying audiences. But danger is never too far whenever one deals with strangers...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hali ya simanzi imetanda katika kijiji kimoja huko Kapsabet kaunti ya Nandi Nchini Kenya baada ya Mwanajeshi wa Kikosi cha Ulinzi cha Kenya (KDF) kumkata sehemu za siri kisha kumuua Kasisi wa...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom