Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeionya Serikali ya Rais William Ruto kuhusu mipango ya kuchukua Mkopo wa Dola Bilioni 1.5 (zaidi ya Tsh. Trilioni 3.96) kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu...
Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza...
Huko nchini Kenya, Bunge la Seneti liko mbioni kujadili Muswada unaolenga kufuta kurushwa moja kwa moja kwa matokeo ya uchaguzi wa rais yanayotangazwa kutoka vituo vya kupigia kura.
Muswada huo...
Hapa Tanzania jana Prof Kabudi amesema Somo la Biblia liingizwe shuleni Watu wamebishabisha sana
Rais Ruto wa nchi jirani amesema maadili mema huanzia Kanisani hivyo serikali yake itaendelea...
Mfanyabiashara nguli na maarufu Duniani mh Adani ameendelea kubanwa kwenye viunga vya Africa Mashariki
Baada ya kuondolewa kwenye Mambo ya Umeme na Viwanja vya Ndege, wabunge wataka aondolewe...
Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA...
Nakubaliana na Dr Ruto na hasa ikizingatiwa Elon Musk sasa ni mshauri wa Rais wa Marekani Taifa lenye nguvu kabisa Duniani
Ruto amesema dhana ya dunia ni Kijiji siyo ya kufikirika ni jambo...
Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa...
Miezi 18 tangu kampuni ya Huduma za Intaneti ya Starlink iingie nchini humo, imedaiwa Mitandao ya Simu imeanza kupata changamoto ya ushindani sokoni.
Kwa mujibu wa tovuti ya Citizen Digital...
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila...
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking...
Wadau hamjamboni nyote?
Naamini Katiba ya Kenya imekiukwa uteuzi Naibu Rais
Nimeshangaa kuona mtu aliyewahi kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na bunge la senate 2020 kisha kufukuzwa kwenye...
Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja.
Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana...
Rais Ruto hatimaye amekubaliana na Kanisa Moja Takatifu La Mitume na kuwaahidi atasahihisha Makosa Yote waliyoorodhesha
---
President William Ruto now says he has heard the concerns raised by the...
Haya ni maajabu! 😂
Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea...
Nafikiria tu haya matamshi ya Ruto yangekuwa yametolewa na Kiongozi wa Tanzania kwa TEC hali ingekuwa Tete na Chadema wangenunya Kesi
Jana Maaskofu wa kanisa Katoliki Kenya walimtaka Ruto na...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali...
Wakimbizi wengi wa kisomali wanabadili dini wakofika kenya.Hii ni kwa sababu serikali ya kenya inaruhusu kila dini tofauti na nchini kwao ambako wanauliwa kisa dini!
Wasomali wanasema wamefanya...
Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa...
Baraza la maaskofu Wakatoliki Kenya kwa kauli moja wamemkemea vikali sana Ruto kwa kile wanachosema ni Utamaduni wa kusema uongo, kunyamazisha wakosoaji, utekaji, kodi zilizopitiliza na ukiukwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.