Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w.
Katika kitabu hicho kuna...
Just watched the statehouse summit on corruption and I couldn't have been more disgusted.
A whole president complaining about corruption, blaming the Judges and what not that he has done...
Wakuu,
Hivi karibuni Rais William Ruto amedokeza kuwa kuwa serikali ya Kenya tayari imelipa Tshs Milioni 500 Kenya iweze kuwa mwenyeji wa tuzo za Grammys mwaka 2027.
Akizungumza wakati wa...
Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi...
Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu.
Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze...
I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel...
Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma, wiki kadhaa baada ya Maaskofu wa Katoliki wakataa...
Matukio yaliyofuata mazishi ya mpendwa Erastus Nduati huko Limuru, Kaunti ya Kiambu mnamo Novemba 28, 2024, yaligeuka kuwa machafuko baada ya wahuni kuvuruga tukio hilo.
Makamu wa Rais wa zamani...
Siasa za Nchi Jirani burudani sana
Raila Odinga anasema Wakati Gachagua aliseti Mtego wa kumnasa asiingie Ikulu na Yeye RAO alitega Mtego wa Panya akiwatumia akina Joho
Sasa nani amenasa Mimi au...
President William Ruto and co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation Bill Gates at State House, Nairobi in November 2022. Photo I PCS
The High Court has issued orders suspending the Bill...
The Democratic Republic of Congo is looking in to join the Uganda – Tanzania oil pipeline according to Tanzania’s Minister for Energy and Minerals, Prof Sospter Muhongo reports Daily News.
The...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameisifu Tanzania kwa kuwa nchi inayoongoza kwa kufanya biashara kwa ukubwa zaidi Afrika Mashariki ikiizidi Kenya ambayo zamani ilikuwa ndio nchi kinara kwa kufanya...
Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir.
Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili...
Wakuu,
Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi.
Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji...
Daniel Wanyeki Gachoka mwenye umri wa miaka 59 kutoka Kenya ameachiwa huru baada ya kukaa gerezani kwa miaka 17 na baadae kugundulika kuwa alifungwa kimakosa
Wanyeki alikuwa akitumikia kifungo...
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.
=====
Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani.
Spika Amason Kingi: Seneti...
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli, amesema kuwa itakuwa vigumu kumshinda Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 nchini Kenya.
Akiwa mgeni...
Mahakama kuu ya Kenya imeagiza Adani asiruhusiwe kufanya Shughuli yoyote nchini Kenya
Aidha hakuna PPP itakayoruhusiwa kwa sasa kwenye Shirika la Umeme wala Uwanja wa Ndege kwani Adani anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.