Baada ya kumaliza Kikao cha Pamoja EAC na SADC jijini DSM Mwenyekiti wa Jumuiya ya Africa Mashariki Rais Ruto ameongea na Mabalozi wa nchi zote duniani na kuwaelezea yanayoendelea Congo
Ruto...
Any 5 star hotel of this size (170+ rooms) in Kenya outside Nairobi?
Meliá Hotels International results for the first half of 2019
Email Print Friendly Share
August 05, 2019 10:02 ET |...
Wakuu,
Sakata la kufutwa kwa shirika la USAID limeendelea kusababisha vilio duniani kote na hii ni baada ya hivi karibuni Wakenya takriban 40,000 kutarajiwa kupoteza kazi zao iwapo shirika hilo...
Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu...
Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi...
Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho...
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika...
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.
Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
Well, I thought it was just here on Jamii Forums where we throw banters at each other but I noticed you guys use this statement too much.
Here in Kenya 'una roho mbaya' is one of those very deep...
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kufanyika kwa mkutano na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuhusiana na mgogoro katika eneo la Mashariki mwa DRC, ambao utafanyika...
Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu.
Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa...
Emotions aside these two cities i.e. Stonetown city n Mombasa city have so much in comon. From international airports to ports to world class hotels, resorts n lodges to historical attractions...
Sasa Wapemba waishio Kenya wametambuliwa kama kabila rasmi nchini humo
Kiongozi wa Wapemba Pwani ya Kenya amesema wamekuwepo Kenya kwa miaka Mingi na waliamua kufanya sensa na kuomba kusajiliwa...
Swali: Hivi Kenya Wanaweza Kuteleza Mradi gani Kwa mafanikio?
-LAPSSET ❌
-Nairobi-Mombasa Expressway ❌
-Nairobi BRT ❌
-Nairobi-Mau Forest Expressway ❌
My Take
Tanzania ni tajiri sana aisee...
Wakuu,
Jaji Mkuu Martha Koome ameituhumu serikali, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa kuondoa walinzi wake, hatua ambayo ameielezea kama shambulio dhidi ya Mahakama na ofisi ya Jaji Mkuu...
Polisi nchini Kenya wamemkamata John Kiama Wambua, mwanaume mwenye umri wa miaka 29, aliyekutwa akiwa amebeba mwili wa mke wake aliyekatwa vipande kwenye mkoba wa nyuma. Mke wake, Joy Fridah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.