Ingawa inasemekana ugonjwa bado upo lakini maisha jijini Dar es Salaam yapo normal na watu wachache sana wanaovaa hizi masks kwa sasa hali hiyo ni nchi nzima maisha yalisharudi kawaida
Kenya...
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeonya kwamba idadi ya wakenya wasio na uhakika wa chakula na kuhitaji msaada wa haraka wa kibinadamu sasa kuongezeka zaidi ya mara...
Nimekaa na kutafakari kwa kina tunu ya lugha yetu hii ya Kiswahili.
Kiswahili kilitumika katika kuleta uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Kiswahili kilitumika kuunganisha makabila zaidi ya 120...
WAKATI Tanzania ikitangazwa kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kipato cha kati, Kamisheni ya Uchumi Barani Afrika imesema nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki ukiondoa Kenya...
Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia...
KENYA: WAANDAMANAJI ZAIDI YA 50 WANAOPINGA UKATILI WA POLISI WAKAMATWA
-
Maandamano ya SabaSaba yaliyokuwa yanaendelea Nairobi yamewafanya watu zaidi ya 50 kukamatwa na polisi. Waandamanaji hao...
President Uhuru Kenyatta orders reopening of the country effective tomorrow
MY TAKE: hahahaha, hahahaha, hahahaha.
===
President Uhuru Kenyatta has lifted the cessation of movement in Nairobi...
Haya bana, Wakenya hongereni sana! Kwenye WORLDMETERS mnazidi kupaa tu, now mmefika nafasi ya 90. Mkiingia 10 bora mtuambie basi.
Sisi wenzenu Dar es Salaam tumebakiza wagonjwa 4 tu! tena wana...
Ni mtihani sana kuzungukwa na majirani wa kihivi, lazima tuwaburuze na umaskini wao tu hamna namna.
Somalia: Only one hospital to treat country’s COVID-19 patients
In Somalia, healthcare workers...
KENYA: Avamiwa na Siafu baada ya kukataa kuoa binti ya mganga
Kijana aliyekodi nyumba ya kifahari ya mganga eneo la Kiritiri kaunti ya Embu nchini Kenya alilazimika kuhama alipovamiwa na siafu...
President John Pombe Magufuli of Tanzania seems to be making it in Kenya as his approval rating reaches an astronomical value of 102%.
The man who just three months ago was hated and was ranked...
Wizara ya Afya imeonya kuwa kupuliza madawa na kemikali kama inavyofanya katika baadhi ya maeneo haiondoi COVID19, na ni hatari kiafya
Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara hiyo, Dkt. Patrick Amoth...
Inashangaza kiukweli,
Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us...
Nakumbuka picha za mawaziri wa Tz wakinywa vikombe vya dawa ya Madagascar iliyofuatwa kwa ndege ya ikulu, wabongo wakawa wanatokwa mipovu walipoambiwa muhimu hiyo dawa ikafanyiwa ukaguzi wa...
Mazungumzo kuhusu biashara huria kati ya Kenya na Marekani yaliyopangwa kufanyika tarehe Mosi mwezi huu yameahirishwa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hadi baada ya kuanza kutekelezwa kwa...
What Does Tanzania Know About COVID-19 That we Don't?
MY TAKE: Siku zote ni busara kujifunza toka kwa aliyefanikiwa, karibuni sana.
===
Tanzania President John Magufuli at a past...
MY TAKE ;Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
=====
Kenya is reopening up the economy gradually by easing lockdowns in the most affected areas, and hence people can travel anywhere but only if their...
Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha.
Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.