Viongozi wa Kenya endeleeni kushupaza shingo mwisho wa siku zitavunjika.
Ninachotaka kusema ni nini? Wasaidieni wakenya(wananchi) kwa sababu hii vita ya Corona ni kwenda nayo kwa umakini sana...
The world’s most powerful countries also are the ones that consistently dominate news headlines, preoccupy policymakers and shape global economic patterns. Their foreign policies and military...
Mara nyingi nimewaona watu humu wakijiliwaza kwamba sababu za Kenya kuwashinda kimiundo mbinu ni kwamba mzungu aliwacha kama ameitengeneza. Sasa hizi hapa picha za jinsi mkoloni aliiacha, wenyewe...
Mwishowe hawa jamaa wameamua kunyoosha mikono na kuamua kufungua kila kitu ingawa virusi vya corona vinaendelea kuwagonga. Eti sasa ndio wanaanza kusema huu ugonjwa upo kwa muda mrefu ujao, ha ha...
Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19.
Taarifa...
Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora...
Here's is The Secret Behind Fast Growth in Kisii Town
News Hub Creator
Jun 15, 2020 8:58 PM
Kisii Town in Kisii County has of recent emerged as one of the fastest growing towns in Kenya. The town...
KQ shares suspended from Trading at the NSE pending imminent state buyout!!!
Current shareholding structure:
Suspension of trading at the NSE:
My two cents: Its a necessary evil. The...
MY TAKE; Maumivu yatokanayo na roho mbaya, hayana dawa.
=======
Magufuli on the spot for lying Tanzania was elevated to middle-income economy
Erick Kombo Ndubi
- World Bank...
Cases of COVID-19 in Kenya have hit the 7000-mark after 247 more people tested positive.
Health CAS Rashid Aman said the new cases are from 4147 samples tested in the last 24 hours.
“Our...
Kenya inashikilia namba ya tatu miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa zinazodaiwa na china inakadiliwa kenya inadaiwa kama $7.9 bilion ela ambazo serikali ya kenya ilizikopa ili kusaidia miradi...
Karibu Wakenya milioni 2.6 tayari wana virusi vya corona, wanasayansi wameeleza baada ya kupima damu iliyotolewa kwa ajili ya protini inayotumika kwenye mfumo kinga.
Protini hiyo (antibody)...
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?
Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona...
The New Kenya Planters Cooperative Union (KPCU) Dandora plant has milled more than 5,000 bags of coffee following its revival as the government opens talks with overseas buyers interested in the...
New plant to add 240MW to Tanzania grid
TUESDAY OCTOBER 2 2018
A Tanesco power supply substation. Tanzania’s Kinyerezi II power plant will be commissioned in the next few weeks. FILE PHOTO |...
Nawapongeza Watanzania kwa kupata status ya middle income country. Lakini nataka niwaonye kuwa kuna tatizo moja kubwa mtakayo kumbana nayo. Mtaweza kuomba mikopo yoyote ile na kuipata kwa urahisi...
Nimekua nikisoma sehemu nyingi ambapo watu wengi sana, ndani na nje ya Tanzania wakisema kwa sauti na kwa wingi sana kwamba, kupungua kwa maambukizi ya Corona Tanzania imetokana na kumuamini...
The COVID-19 cases in Kenya are now nearing the 7000-mark after 268 more people tested positive in the last 24 hours.
Health CAS Rashid Aman said the country now has a total of 6,941 cases of the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.