Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Rais Uhuru Kenyatta ameruhusu safari za kuingia na kutoka Nairobi, Mombasa na Mandera baada ya kuifunga miji hiyo kwa muda ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Maeneo mengine hawataruhusiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumtumainia Mungu kunalipa sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya's Wambui Gichuri was on Saturday, July 4, appointed as an interim vice president in the Africa Development Bank. In a statement shared by the bank, Gichuri was elevated to serve as the...
4 Reactions
12 Replies
922 Views
While Kenya has pathetic slums in some segmented areas of its cities, the population in these slums iko wazi and any one can access. In general the number is even smaller in relation to the total...
1 Reactions
99 Replies
8K Views
KENYA: Msichana wa miaka 9 ni miongoni mwa wajawazito Msichana wa miaka tisa kutoka kaunti ya Murang'a nchini Kenya ni mmoja wa wasichana wa shule ambao wamebeba ujauzito katika kijiji cha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Siku ya 40 ya mwizi hatimaye ilitimia kwa Mbunge wa Sirisia John Waluke na mshukiwa mwenza Grace Wakhungu, kwenye kesi ya ufisadi dhidi yao ndani ya mahakama ya ufisadi(Anti-Corruption Court)...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Halafu omba omba wale wa kutoka kwa nchi jirani hivi wamepelekwa wapi maana sidhani kwa hali kama hii watapata nafasi. As the Nairobi Metropolitan Services (NMS) under Director-General Mohamed...
9 Reactions
97 Replies
8K Views
Baadhi ya wabongo wengi wasiokuwa informed kina joto la jiwe@geza ulole etc wanaishi wakisema Tanzania inalisha Kenya kwa kila kitu. Swali langu ni juu Kenya ilifunga mpaka mwezi ulio Isha...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Thousands of residents in West Pokot County are faced with hunger due to food shortage in the wake of Covid 19 pandemic that has claimed the lives of many people globally. ====== At least...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk. Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Aisee big up man. Jah Rastafari! Huyu ndio Mkenya wa kwanza mwenye dini ya Kirastafari kuwa wakili wa high court kirasmi. Aisee kuwa advocate wa high court sio kazi rahisi, huyu jamaa...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Mazishi ya Mzee Moi kiboko. Watu 3000 wa kwanza kuwahi siku ya mazishi Kabarak watapewa mkate na soda (nimeambiwa baada ya kusikia hilo kuna nyomi la kufa mtu kuelekea msibani kuwahi soda na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) limewataka wafanyakazi wake wote ambao wamewekwa likizo kuendelea kubaki nyumbani bila malipo. Agizo hilo litaanza Julai 06, 2020 Hii ni mara ya pili kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Kila kitu kina faida na hasara, muhimu ni jinsi gani unaweza kuweka " balance" vizuri. Kupunguza wafanyakazi inaweza kuwa ni mbinu nzuri kwa shirika kutengeneza faida, ila upande mwengine ni...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nitakuwa nawaletea maonesho haya makubwa sana Africa Mashariki na Kati. Ufunguzi ni tarehe 01/07/2017. Yatafunguliwa na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. John Pombe Magufuli. Ni zaidi...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Wizara ya Afya ya Tanzania imetangaza habari ya kufunga vituo 74 kati ya 85 vilivyokuwa vimetengwa makhsusi kwa ajili ya wagonjwa wa COVID-19 baada ya kukosa kupokea wagonjwa wapya, huku...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
All schools in Tanzania have re-opened after COVID-19 halted learning a few months ago. President John Pombe Magufuli started by re-opening of higher learning institutions and even form six...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom