Waziri wa Afya wa Kenya wakati akitangaza kifo cha mgonjwa wa Corona hapo Jana Alhamisi, alisema kwamba mgonjwa huyo alifika Hospitalini hapo akiwa anaumwa maradhi mengine, hivyo alihudumiwa na...
Jana alikamatwa jaji na kanali wa jeshini, usiku wa kuamkia leo mbunge ametiwa pingu, hakuna mchezo, taasisi zinazidi kuonyesha zipo huru kutekeleza wajibu wao kikatiba....enzi zile za kitambo...
Mother hospital kijijini butere subcounty, kakamega county Kenya
Hamptons floating hospital is a game changer in the Medical industry in the Lake region economic bloc (LREB) and will serve five...
Wanawake wakiwa katika msururu wa kupokea chakula
Wanawake wawili wamefariki huko Kibra siku ya Ijumaa katika zoezi la kuwania chakula kilichokuwa kikigawiwa katika eneo hilo.
Inaripotiwa kuwa...
Katika pita pita yangu mitandaoni, nimeona ndugu zetu, majirani zetu, watani zetu wa Kenya wana uhaba mkubwa wa chakula hasa nafaka.
Nashauri, kwa kuwa sisi tuna chakula kingi na kwa kuwa kuna...
MP calls for prudent use of Covid-19 funds : The Standard
COVID-19: MBUNGE KENYA ATAKA WAMUIGE MAGUFULI, ASEMA MUNGU AMEWALINDA WATANZANIA
"He gave an example of Tanzania where President John...
MY TAKE
Another proof that Kunyaland cooks data!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Kenya Defence Forces is slowly building its close air support to support ground troops, planners in the DOD seem to have started taking this ignored role by regional armies seriously.
KENYA : H3...
Kenya ya leo balaa, taasisi ziko huru hadi raha, haijalishi wewe nani wala nini, ukivunja sheria unakamatwa tu na kutiwa lockup.
=========
A magistrate and a Kenya Defence Forces colonel were...
Hii ni dalili kwamba, majirani wanaanza kuitenga Kenya kutokana na uzembe wa kushindwa kudhibiti na kumbukuza kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona, Kenya kwa sasa ndio bwawa la kufuga na...
Hongera vijana wetu, changamkieni hii fursa adhimu. Nchi ya viwanda ni kwa ajili yenu.
(Hivi, neno ventilator Kiswahili chake nini, jameni hii lugha ndio maana ni vigumu kubuni chochote kwa...
Hizi ni mashini ambazo zilikua zilinunuliwa kufanya mass rapid testing ya TB na HIV, mashini hizo saba zimewezesha Kemri kuwa na uwezo wa kufanya test 2 Million za HIV ndani ya wiki. Lakini...
Wakenya wengi wameendelea kuvuka mpaka kwa njia za panya na kukimbilia Tanzania kwa kuhofia ugonjwa wa Corona na njaa.
Takriban wakenya 20 toka kaunti ya Kwale ambayo ni miongoni mwa majimbo...
The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three...
Hali imekua ikijirudia kila mwaka, hawa sio wale wanaotoka maeneo yanayokumbwa na ukame, hawa ni watu kutoka maeneo ya Rift valley.
Kenya mbona hamjipangi kila wakati ni matatizo yasiyokwisha...