Kenya imethibitisha kesi nyingine 4 za wagonjwa wa Coronavirus na kupelekea idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 126
Wanne hao ni miongoni mwa waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita...
Denmark boosts Kenya’s Covid-19 fund
Mara nyingi takwimu lengo lake ni ili kupanga mipango na bajeti ya kukabiliana na tatizo husika, ila kwa nchi zilizogubikwa na rushwa, takwimu zimegeuzwa kuwa...
Wanaume wawili kutoka Mtaa wa Oljorai eneo la Gilgil, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya, wameuana kwa kukatana mapanga kisa kupigania mwanamke.
Akithibitisha kisa hicho Kamishna wa Polisi kaunti ya...
Kuna wimbi kubwa la wakenya wanaoishi kwenye borders za Tanzania kuvuka kuingia nchini specifically kwa ajili ya kufuata msosi na vinywaji vya bei rahisi kutokana na Kenya kuwa na upungufu mkubwa...
Wakuu,
Kwanza niwapee update ya mechi inayoendelea enya.
Sababu ya Vifo kwa sasa:
Corona:- 4
Polisi wa corona-4
Inaonekana G.O.K hajaridhika na hii draw na ni muhimu ijumuishe wakulima kwa...
Vincent Kipsegechi Yator(30) amekuwa ni mtu wa nne kuziwa kushiriki mbio za marathon, kwa kiuka sheria zinazopinga madawa
AIU ilimsimamisha Yator Oktoba 2, 2019, baada ya kugundulika kuwa...
Hakuna kuishi kwa mazoea tena, polisi ukifanya madudu inakula kwako, fanya kazi yako kwa kuheshimu mipaka ya sheria, hakuna wa kukutetea ukichepuka, nchi hii tumepiga hatua sana kidemokrasia, kuna...
Hakutaka ajulikane au aogelee kwenye misifa, wala hatafuti ubunge au umaarufu, alitinga mtaani na kuawapa chakula familia 600 na kutoweka kabla waandishi hawajaibuka......
An anonymous donor fed...
Rubani Daudi Kimuyu Kibati aliendesha Ndege ya mwisho kutoka New York Marekani kurudi Kenya baada ya Mlipuko wa Virusi vya Corona amefariki akiwa na umri wa miaka 63
Alifanyiwa vipimo vya afya...
Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga.
Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni...
Msanii wa kule Tanzania aliingia mtaani kwenye mjii mkuu wa Dodoma na kuanza kuhoji Watanzania waletewe COVID-19 ngapi, wote wamejibu vituko, ishara inayoonyesha jinsi gani Watz hawana uelewa wa...
Hivi wakenya Nani amewaloga?, hivi hamuoni kwamba njia mnazozitumia za kupunguza maambukizi hazifanyi kazi?, kwanini msitafute njia na mbinu tofauti kidogo?.
Mimi ninawapenda ndio sababu...
Hii inafanya idadi ya watu waliouliwa na POLISI kufikia 4, wakati wale waliokufa kutokana na Corona ni 3.
COVID - 19: 3
POLISI: 4
Bado ndio kwanza tupo dakika za mwanzo za mtanange huu, huenda...
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona (Covid-19) nchini Kenya imefikia 122 baada ya watu wengine 12 kuthibitishwa kuwa navyo ndani ya saa 24 zilizopita.
Katibu wa kudumu katika Wizara ya Afya...
KDF And Ethiopian Army in Firefight at Moyale
Tulipokua watoto tulikua na msemo tukiutumia wakati wa kutaniana " Utani utani mwisho huwa kweli". Hii ya Kenya na Ethiopia inaanza kama utani...
Mtoto wa miaka 6 aliyekufa kwa Corona Kenya Leo, alikua amelazwa katika ICU pamoja na wagonjwa wengine wa kawaida na kuhudumiwa na madaktari wa kawaida bila kujua kwamba alikua na maambukizi ya...
wakuu habari za majukumu....CHANJO ya vivid 19 INAKUJA mda sio mrefu na wazungu wanasema utafanyiwa majaribio Africa .Kuna hawa jamaa wanaoongoza Kwa kizungu Africa wanaitwa Kenya huwa mbio mbio...
Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi...
State-owned Kenya Electricity Generating Company (KenGen) is eyeing lucrative geothermal infrastructure tenders in nine African countries, officials have said.
KenGen, which last October won a...