miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya...
Polisi wa Tanzania wako Vizuri kuliko wa Kenya ona Naivas Supermarket ilivyoporwa na waandamanaji mjini Naivasha katikati ya mji na hakuna polisi alitokea kuwazuia Ingekuwa Tanzania polisi...
Rais Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa muda wowote kuanzia sasa. Hii limekuja baada ya Rais Ruto kukataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Usikae mbali kufuatilia updates zaidi...
Picha na AP.
Waandamanaji 10 wanaripotiwa kuuawa na polisi baada ya kuvamia jengo la Bunge la nchi hiyo na kuwashinda nguvu polisi.
Hali kwa sasa ni shwari kidogo baada ya polisi kuongeza nguvu...
Vijana mumeitikisa nchi ikatikisika, mumenikumbusha enzi zetu wakati tulikua tunapigania demokrasia ya vyama viwili, na pia enzi za katiba mpya, ni faraja sana kujua nchi bado iko salama na kwamba...
Swali la Leo: Deni la Kenya limefikia kiwango cha juu zaidi ya dola bilioni 10, wakati serikali imesema imeweka mikakati ya kuacha kukopa, nini maoni yako?
---
Kiwango cha deni la Kenya kimefikia...
Wakenya hawana lolote wanacho kifanya ni MAIGIZO tu.
Ukiona mbongo anasali kwa kiingereza basi jua hana shida huyo.
Ukiona mtu anaelezea matatizo yake kwa lugha ya kigeni wakati ana option...
Uhuru Kenyatta
Rais wa mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuhusu maandamano yanayoendelea dhidi ya Muswada wa Fedha.
Kiongozi huyo wa zamani wa taifa alituma salamu zake za rambirambi...
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Kenya toka enzi na enzi.
Hata wakati wa uchaguzi mkuu I told them Sikumsapot kibaki 2007 nilimuunga Mkono Odinga.
2012 nilimuunga Mkono Uhuru, kutokana na Maono...
KENYA: Rais William Ruto anatarajiwa kuhutubia Taifa usiku wa leo Juni 25, 2024 ikiwa ni siku iliyotawaliwa na Maandamano katika maeneo mbalimbali ya Nchi hiyo yakiongozwa na Vijana wenye Umri...
Vurugu, uharibifu na uporaji wa maduka na mali mbalimbali binafsi na za umma vimewafanya kuonekana na kuwabainisha rasmi mchana kweupe, kumbe ni majambazi, magaidi na wezi tu, waliyo jificha...
Rais wa Marekani Joe Biden, ameiteua rasmi Kenya kuwa mshirika mkuu wa taifa hilo asiye mwananchama wa NATO.
Hatua hii ina maana kwamba licha ya Kenya kutokuwa katika sehemu ya Jumuiya ya...
Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo.
KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio...
Several people have been shot in a fierce clash between anti-riot police officers and protesters opposing the Finance Bill 2024 in Nairobi.
Police were forced to open fire after the protesters...
Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika...