Ndugu wana JF, hali ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Uganda inaongezeka kwa kasi zaidi kuliko nchi yoyote hapa Afrika mashariki.
Uganda imekua nchi ya mwisho kutangaza kuwepo kwa...
Linah Anyango, a biology and chemistry teacher from Changamwe Secondary School, Mombasa County.
A Kenyan teacher has once again been shortlisted for the Varkey Foundation Global Teacher Prize...
Kenyan biker Grace Mwari.
INSTAGRAM
Grace Mwari's passion for motorcycling has propelled her on an unconventional path, in an arguably masculine world of adrenaline junkies.
She has dedicated...
Inspector General of Police Hillary Mutyambai has now warned that those found outside their homes within the stipulated 7pm-5am curfew period will be dealt with according to the law.
Mutyambai...
Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika...
Ethiopia overtakes Kenya as economic giant of East Africa
Ethiopia
Ethiopia has officially overtaken neighbouring Kenya as East Africa’s economic giant.
According to International Monetary Fund...
Source: Xinhua 2018-05-20 02:10:55
DAR ES SALAAM, May 19 (Xinhua) -- China said on Saturday good progress was being made on negotiations with the Tanzanian government on the 10 billion U.S...
Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass
Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia...
Katika kila "scandal", viongozi wakuu serikali na wanasiasa wanahusika kwa kiwango Kikubwa, hakuna hatua zozote za maana zinazochukuliwa na serikali za kuwawajibisha.
======
A number of Kenyan...
Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24...
A 27-year-old woman from South Africa has committed suicide at the Kenya Industrial Training Institute (KITI) in Nakuru where she had been placed under quarantine undergoing check-up for the...
Siku ya leo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua kuu muhimu za kijamii na kiuchumi za kuwanusuru raia wa Kenya kutokana na madhara yatakayotokana na hatua za kudhibiti athari za kuenea...
After Coronavirus, Kenyans Will Have To Fight One More Virus
Hii "article" inaonyesha ni kwa jinsi gani viongozi wa Kenya wasivyojali wananchi wao wanaowaongoza, na ni kwa kiasi gani wananchi...
https://www.businessdailyafrica.com/datahub/Financial-services-topple-manufacturing/3815418-5283938-11hek8xz/index.html
Kenya kwa miaka mingi ilitawala katika "manufacturing sector " katika...
A Kiambu landlord has waived rent for his tenants, a day after President Uhuru announced tax cut relief for civil servants.
James Karanja (pictured), a landlord in the sprawling Mugumo estate in...
Kitumbua cha dunia kimeingia mchanga, mataifa yamefunga mipaka, kila mtu abaki kwao ndani, hii ndio taswira kote, sasa Watz bado hawaonyeshi kuelewa hiki kitu, mataifa yote yaliyowazunguka...
Idadi ya kesi za coronavirus nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia watu 31 baada ya wagonjwa wengine watatu kupimwa na kukutwa wakiwa na COVID-19.
Katika mkutano na waandishi wa habari leo...