Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Shirika la Uchunguzi la Mtandao la NetBlocks limethibitisha kuwa Data ya Mtandao ya moja kwa moja inaonyesha kuna usumbufu mkubwa wa muunganisho wa Intaneti Nchini Kenya, ikiwa ni siku moja pia...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Mambo yanazidi kuwekwa wazi huko Kenya baada ya Mbunge mmja kudai kwamba Walihongwa Shilingi Milioni 41 na Serikali ya Ruto Ili Kupitisha Msaada wa sheria ya Fedha unaolalamikiwa na raia wa Nchi...
2 Reactions
12 Replies
497 Views
Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
0 Reactions
0 Replies
199 Views
1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002. Mwai Kibaki aliyewahi kuwa Makamu wa Rais akatangazwa mshindi. 2...
2 Reactions
10 Replies
390 Views
1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano. 2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways...
1 Reactions
1 Replies
353 Views
KWALA SATELITE CITY https://africa.businessinsider.com/local/markets/see-the-tanzanian-project-expected-to-provide-1000-jobs-with-over-200-industries/10bve6s.amp See the Tanzanian city project...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimejipa likizo kufuatilia bunge la Bongo Nimezipenda Siasa za Kenya Wabunge wa Kenya KWANZA wanaogopwa kama ukoma kwenye Jamii Rais Ruto sasa awakumbatia Gen Z Mlale Unono 😃😃😃
0 Reactions
10 Replies
400 Views
Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya mh Willy Mutunga ametimba ofisi ya DCI kuwatetea vijana wa Gen Z ambao wanashikiliwa na Polisi Mutungi amesema hali itakuwa mbaya zaidi pale Wazazi watakapoamua...
3 Reactions
8 Replies
458 Views
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Najua Chadema kwa sasa harakati zenu zinatumia Maandamo kama njia ya kuishinikiza serikali Fuatilieni kinachoendelea Kenya kuanzia muda huu mtajifunza mambo mbalimbali Ahsanteni 🐼
3 Reactions
29 Replies
923 Views
Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye...
1 Reactions
5 Replies
425 Views
Hawa Watoto wa Gen Z ni hatari kwa kweli yaani hawaogopi kabisa polisi Wamezingira Kanisa huku Rais Ruto akiwa humo ndani anaabudu Inatisha sana, kibongobongo tungesema hawa Watoto wetu Wana...
3 Reactions
14 Replies
564 Views
UPDATE: KENYA: Wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini humo wameingia Mitaani kupitia Maandamano ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha unaolamilikiwa wakidai una vifungu vyenye Kodi kandamizi...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani ameyaponda maandamano ya vijana wa Gen Z na kudai hayajabalisha chochote Kimani amesema walioandamana siyo Wawakilishi halisi wa wakenya Kwani ni watoto...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kenya Airways has introduced three non-stop flights from its hub at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town, South Africa. Initially, the airline operated seven weekly flights...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Well…well…well! It’s deja vu all over again 🤣. This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point]. Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa...
2 Reactions
16 Replies
551 Views
Binadamu ni akili inayoishi ndani ya mwili! Na akili inahitaji elimu bora ili kuikomaza vizuri. Siasa na serikali ni mifumo ya kijanja janja sana. Inahitajika akili iliyokomaa kuweza kukabiliana...
1 Reactions
10 Replies
652 Views
Mchekeshaji na Mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita nje ya Bunge la Kitaifa, akipinga mswada wa fedha 2024 ulioshuhudia maandamano makubwa jana. Omondi alifika nje ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…