Officers at Isebania police station are on the spot for throwing into a cell a defiled minor after she had gone to report the case.
The distraught 12-year-old girl had accused her father, a...
Ndio desturi ya wachapa kazi, mwaka wote unajituma kupita maelezo halafu ikija Krisimasi unajiachia kwa raha zote unakula bata yaani basi tu.
Tiketi za SGR tayari zimeisha, Wakenya wamezinunua...
Kenya inapambana na mafuriko na mvua kubwa iliyoanza mwezi uliopita. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetahadharisha kuwa hali hiyo itaendelea kushuhudiwa hadi wakati wa msimu wa Krismasi...
Kenya-based edible oils manufacturer Bidco Africa has teamed up with American conglomerate Land O’Lakes to invest Sh1.2 billion in the upgrade of an animal feed factory in Nakuru.
The joint...
25 years after the world fell in love with Simba and his merry band, one of the most highly anticipated Disney movies of the year, The Lion King, premiered in Los Angeles, US, on Tuesday.
Based...
Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo.
Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa...
Wakenya mbona mnajichanganya? Hii katiba ambayo mlisema ndiyo bora, mbona inasemekana ni katiba inayokandamiza demokrasia? Au mnajenga hoja ya kuandika katiba zingine ili wajanja waendelee kupiga...
Hivi kutakwua na maelewano yoyote ya maana kweli hapa? Hii zomea zomea katika mikutano muhimu kama hii inatoa ishara gani? Mungu saidia jirani wetu japo wapate kuheshimiana na kusikilizana.
Violence broke out when the results of the October 2017 election were announced
In our series of letters from African writers, journalist Waihiga Mwaura asks whether Kenya's divides can ever be...
Japo hii video ni ndefu, lakini ni vizuri sana Wakenya wakaisikiliza kwa makini sana, hasa dakika 30 za kwanza.
Kuanzia dakika ya 27, huyo mzungu anawashangaa Wakenya weusi walioomba Kuwepo kwa...
Chuo Kikuu cha Maseno kimefungwa kutokana na kutokea kwa mgomo wa wanafunzi ambao unadaiwa kusababishwa na kukithiri kwa matukio na kesi za ubakaji ndani na nje ya Chuo.
Aidha, kutokana na tukio...
Kwenye hio ripoti inasemekana nchi ambazo ziko industrialized kwa sasa karibia zote zilianza na viwanda vya pamba kutengeneza material za kutengeneza nguo, kwahivyo kama tuna akili basi tuchukulia...