Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali.
Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya...
KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata...
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...
Kenya imeamua kusitisha mipango ya kutuma maafisa wa polisi nchini Haiti iliyokumbwa na ghasia chini ya ujumbe wa kimataifa unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, afisa mmoja mwandamizi wa serikali...
Parliament has called for the formation of an inquiry to investigate how 133 applicants who are among individuals who applied for the position of Revenue Service Assistances (RSA) at the Kenya...
Nimeangalia katika taarifa ya habari hapa katika kituo kimoja cha kimataifa Nchi ya Kenya imeingia mkataba wa kupeleka askari wa jeshi sijajua ni police au military. Kwaajili ya kulinda amani...
Thirteen years since Kenya welcomed its first ever fibre optic cable, the country has now unveiled a sixth submarine internet cable that promises to offer higher speeds, lower latency and broader...
Hatua hiyo inafuatia ongezeko la Kodi na Tozo mbalimbali zilizopitishwa kupitia Sheria mpya ya Fedha ya mwaka 2023, Sheria ambayo imelalamikiwa kuongeza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi...
Tukisema Kenya, ni, akili kubwa, tuwe tunaelewa, binti wa Raisi yupo anahojiwa Citizen, ni mjasiriamali katika kilimo, anafuga nyuki, analima, anasaidia vijana.
Huku kwetu ni nadra Sana kusikia...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi.
Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo...
Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida...
KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa...
Ili nimeliona kwenye Mtandao ambapo mchungaji mkubwa kutoka AMERICA ameendisha crusade kubwa sana ya kuombea Taifa ambapo Rais wa nchi hiyo na Mkewe pamoja na Makamu wake wa Rais waliudhuria
Kuna...
Kenya mpo ,Tanzania rasmi ndani ya Afrika imepeleka timu kubwa mbili toka Derby ya kariakoo yaani Young Africans na Simba
Kuna wakati lazima usemwe Tanzania ndio Giant ya mpira kwa sasa Africa...
Rais Ruto amesema kuwa Kenya inakusudia kuendelea na mipango ya kuongoza misafara ya usalama iliyoidhinishwa na Umoja wa Mataifa kwenda Haiti, licha ya mahakama mjini Nairobi kuzuia kupelekwa kwa...
Philippine-based betting firm now opens Nairobi hub
THURSDAY, MARCH 16, 2017 20:11
NAIROBI WILL ALSO BECOME THE FIRM’S HUB IN THE PLANNED EXPANSION INTO OTHER AFRICAN COUNTRIES. FILE PHOTO | NMG...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema kutahiriwa siyo lazima.
Eti kwani Mungu hakukosea kuweka ile ngozi maana ina umuhimu wake.
Je yupo sahihi?
Ebu tujadili
Akizungumza katika Mkutano wa Wabunge wa Chama Tawala na Mawaziri, Rais William Ruto amewaonya Vikali Wabunge 'Wavivu' akiwashutumu kwa kutokuwepo katika Majimbo yao ambapo Serikali inatekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.