Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer...
Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi...
KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya...
MONDAY 15TH AUGUST
1640Hrs
We have intelligence reports that their system was penetrated and hacked and that some of the IEBC officials actually committed electoral offences and some of them...
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa...
Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake.
Haya sasa, hata Kenya matatizo...
"Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta...
Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa...
Waziri mmoja wa Kenya amesema wameamua kuwashughulikia Vyeti Feki kama ilivyofanya Serikali ya Tanzania ila wao wataenda mbele zaidi kwa kuwafikisha mahakamani na kufungwa pamoja na kulipa fidia...
Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali.
Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo...
MWALIMU wa shule ya sekondari kutoka kijiji cha Nthangathiri, Kaunti ya Embu, alijitia kitanzi ndani ya nyumba yake baada ya mpenzi wake wa pembeni kumtema.
Marehemu aliyetambulishwa na polisi...
Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi.
Tukio hilo limetokea...
Natoa angalizo.. viongozi wa Kenya na other parasites mnajua kinachoendelea Eastern DRC we want peace and stability. Tunajua biashara yeyote inayofanyika kati ya E.drc , rwanda kwa sasa most of it...
Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala.
Makubaliano hayo yatawezesha Toyota...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Matumizi ya Bajeti Zilizorekebishwa, imefunua jinsi serikali ilivyotumia bilioni 147 za shilingi bila idhini ya Bunge la Kitaifa...
Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme.
Katibu Mkuu wa Nishati Alex...
Ukioa demu mkenya, tofauti yako na alie oa mzungu ni moja tu. Wewe ulie oa demu wa kikenya umeoa mzungu feki na yule alie oa demu wa kizungu ameoa mzungu orojino.
Ila wewe ndio utapata tatu kwa...
Kenya inaongozwa na mfumo wa kibepari huku tanzania tumepitia mfumo wa ujamaa.Cha kushangaza wenzetu Kenya ni wazalendo sana kwenye nchi yao hasa linapokuja swala la uraia au mtu anapoishambulia...
Kumbe Kiongozi anapopokea Madaraka na kukuta nchi ilikuwa inaliwa na mafisadi kila kona ni lazima kiongozi huyo aoneshe mbinu binafsi za kunusuru Taifa.
Magufuli alikuwa haingilii Mahakama kabisa...
Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280.
Lori...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.