Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika kijiji cha Mradi, mtaa wa Embakasi, mjini Nairobi baada ya mtambo wa gesi kulipuka muda mfupi kabla ya sita usiku wa Alhamisi, na kuliingiza jiji katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkenya mmoja anaeishi Ulaya kwene interview ameeleza kua waafrica wamelaaniwa. Nayy kuwa mweusi haimfanyi kusema ukweli kwamba waafrica wanalaaana Hii ndio maana katika nchi za waafrica hamna...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Marekani na washirika wake wanatumia shinikizo na nguvu laini kwa Kenya kuunga mkono vita dhidi ya Wahouthi nchini Yemen - na kwa kuongeza vita vya Israel huko Gaza - wakilenga kumaliza mfululizo...
1 Reactions
10 Replies
612 Views
A Mombasa court today sentenced a middle-aged Tanzanian woman to 45 years in prison for trafficking heroin worth Ksh 16,167,000. Principal Magistrate Hon. Martin Rabera found Maimuna Jumanne Amir...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DRC imemuondoa barozi wake Nairobi baada ya kuituhumu Kenya kuhusika na kuwahifadhi waasi wa M23. Ikumbukwe pia kabla ya Kuyafukuza majeshi ya Africa mashariki DRC wanajeshi wa kenya hawakuweza...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwenu Wakenya?? Kenya water bodies Maziwa 1. Lake turkana 2. Lake victoria 3. Laki kisumu 4. 5….Ongoing list on picture below Bahari 1. Bahari ya hindi Mito 1. River Tana 2. River athi 3. River...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari...
0 Reactions
5 Replies
822 Views
Kenya yasema Ugonjwa wa Red Eye ulioripotiwa kusambaa kwa kasi nchini Tanzania na kuripotiwa Kesi zaidi ya 800 sasa umeyakumba maeneo ya Pwani ya nchi hiyo yakiwemo Mombasa na Kilifi Hadi sasa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Musalia Mudavadi, amekanusha ripoti za kuwa Kenya ina uhusiano mbaya na majirani zake, licha ya mizozo kadhaa iliyotokea hivi karibuni ambapo alisisitiza inatatuliwa...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la...
0 Reactions
4 Replies
926 Views
#KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza...
1 Reactions
2 Replies
781 Views
Mnamo mwaka 2020 Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua alizindua makao makuu mapya ya kaunti hiyo. Jengo hilo jipya, ambalo linafananishwa na Ikulu ya Marekani - lilifunguliwa rasmi Jumatano, Mei...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Nchi ya Kenya ukiondoa labda Mombasa, ilikosewa uanzishwaji wake, walioianzishwa (Wazungu) hawakujali tofauti kubwa ya Kiutamaduni ya watu waishio nchini humo, ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Common questions prospective clients ask before making the switch to solar in Kenya: Can solar panels work without direct sunlight? Will the solar panels work on cloudy days? Will the solar...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
KENYA: Siku chache baada ya kushtakiwa kwa Makosa ya Ugaidi, Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie, mke wake pamoja na Wasaidizi wake 94 wameshtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia ya Watu zaidi ya 400...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakenya kwenye kuzidisha uzito kwenye mizani Barabarani wana sheria kari mno, unaweza jikuta unaacha gari pale. Fikira lori kuzidiaha uzito unapigwa faini ya Ksh Milion 47 hizo ni around Million...
2 Reactions
11 Replies
779 Views
Kenya Seeks Aid From Tanzania Amid Shortage Of Tuberculosis Drugs By Stephen Letoo Published on: January 05, 2024 08:30 (EAT) Health Cabinet Secretary Wafula Nakhumicha says Kenya has sought...
4 Reactions
13 Replies
907 Views
Mtu mmoja ambaye hakupatikana na hatia katika shambulio la kigaidi la West Gate nchini Kenya ametekwanyara alipokuwa akielekea nyumbani. Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kwamba Liban...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…