Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza amewaacha Wananchi wa Kaunti hiyo katika hali ya mshangao baada ya kuipa barabara inayounganisha maeneo ya Kirung'a na Muthalankari jina la mumewe, Murega Baichu...
Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa.
Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa...
Katibu Mtendaji wa Umoja wa Walimu katika tawi la Nandi, Boniface Tenai ametoa wito kwa Serikali kutenga Rasilimali za kutosha kukabiliana Ugonjwa wa Saratani ambao umeshambulia idadi kuwa ya Watu...
kadoda11
MOTOCHINI
tuusan
MK254
Iconoclastes
mulanKE
Kafrican
nyangau mkenya
game over
Nyinyi waTZEE hamjui mangoma za kenya za Kuskiza
Wachana Na Mainstream Media enda kule ndani Utafute...
Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho.
Akijibu...
Tuache mzaha, teknolojia ya magari Kwa Africa Bado sana.Sasa hata kama ni uzalendo hili ndio gari gani Sasa? 🤣🤣🤣🤣
Wacha Ruto aendelee kuwa Mzalendo ila binafsi siwezi kutoa pesa yangu kununua...
List of African Countries with Hardest Working and Laziest People - African Entrepreneur Startup Project Below is a list showing countries with hardest working people. The list also acknowledges...
Kenya’s Bitcoin Trading Volumes Hit $45.95 Million in 2020, Second Highest in Africa
Brian Njuguna Dec 15, 2020 06:30
Despite the grappling effects of the coronavirus pandemic, Kenya’s Bitcoin...
Wakili Ahmednasir asema Maimamu wenye msimamo mkali huko nyuma walishughulikiwa kwa uthabiti na baadhi ya misikiti kufungwa
Adokeza kuwa baadhi waliuawa na wengine kufungwa jela kwa kutishia amani...
Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa.
Sababu kubwa ya rais kuongeza...
Dah, yaani Kenya mpaka kwenye muziki tunatawala Afrika, hamna chochote ambacho tumeachwa nyuma, hii nchi tumebarikiwa kuwa na watu wanaojituma kwa kweli, tunatawala kiuchumi, kielimu, kijeshi...
If you have been following World affairs closely, you probably already know what is ahead of humanity.With that in mind,President of Kenya has urged his citizens to get rid of U.S. Dollars...
Huu mtanange utaishia wapi, je ndio mwanzo wa kusambaratika kwa EAC?, kama vipi tulivunje hili "JAHAZI" ili tugawane mbao kila nchi itokomee kusiko julikana, ama namna gani wajameni?
Hii haijatokea kwetu ni huko Kenya wanako jua maaana ya uwajibikaji.
Baada ya kukatika umeme kwa masaa mawili uwanja wa Ndege wa Nairobi taarifa ya hivi punde ni kuwa mkuu wa viwanja vya Ndege...
Kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, amemjibu Balozi wa Marekani Mchini humo, Meghan Whitman, kuwa Kenya sio koloni la Marekani na kumtaka Whitman kujiepusha na siasa za Kenya...
''Asiye na dhambi awe wa kwanza kuokota mawe na kuwapiga hawa watuhumiwa''.........mwisho wa kunukuu sasa endelea na story
======
Bibi na Bwana harusi watarajiwa wamejikuta wakishindwa kufunga...
Katika kujaribu kudhibiti taasisi za kidini, Serikali imefuta usajili wa Makanisa 6, yakiwemo Makanisa ya Mchungaji Ezekiel na Paul Mackenzie
PaulMackenzie kwa sasa yupo kizuizini kwa kurubuni...
Mwanaume mmoja amelazwa Hospitali nchini Kenya baada ya kujichoma moto katika eneo la Mwembe Tayari Kaunti ya Mombasa huku chanzo cha kufanya hivyo kikiwa bado hakijafahamika ingawa taarifa za...
Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni...
Seneta Jackson Mandago na Watu wengine 3 wanakabiliwa na Mashtaka 11, ikiwa ni pamoja na Wizi na matumizi mabaya ya ofisi. Anatuhumiwa kushiriki katika njama ya kuiba Ksh. Bilioni 1.1, sawa na...