Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya...
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan...
Wakuu heshima kwenu
Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifatilia siasa za nchi zetu za Afrika mashariki hususani kipindi Cha uchaguzi.
Rwanda na Uganda sijashuhudia chaguzi zao hivyo naziacha Kama...
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile...
MK254 njoo uone masrepa yenu huku sio kutwa nzima unakomaa na NATO vs One man Army (PUT IT IN) aka the bear rider
---
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limethibitisha kuwa Helikopa ya Jeshi la...
Kiongozi wa zamani wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga alikamatwa nyumbani kwake eneo Kiserian usiku wa kuamkia Alhamisi. Aidha kakake Njoroge Njenga pamoja na msaidizi wake Ole lekishe...
Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wametoka rai kwa Inspekta Jenerali wa Polisi Japheth Koome kumkamata askari huyu aliyenaswa na kamera mara tu baada ya kumpiga risasi mtu mmoja kwenye maandamano...
Mbunge wa Embakasi Mashariki Mheshimiwa Babu Owino angali bado anashikiliwa na polisi katika kituo cha Polisi cha Wanguru kilichoko kaunti ya Kirinyanga, Mke wake Fridah Ongili amethibitisha...
Wizara ya elimu imetangaza kuwa masomo katika shule za kutwa zilizokuwa zimefungwa leo katika kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa yatarejelewa kesho Alhamisi.
Awali Serikali ilitangaza kufunga...
Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk.
Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano...
Nisiseme mengi Sana.
Sote tuliisifia Kenya kwa kufanya uchaguzi huruma kabisa na matokeo yakatangazwa na ruto akashika nchi peacefully.
Ila maandamano yanayoendelea Kenya pamoja na jinsi...
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga pamoja na Viongozi Wakuu wa Muungano wa Azimio akiwemo Martha Karua hawajulikani waliko.
Vilevile Wabunge kadhaa wa Muungano wa Azimio akiwemo Mheshimiwa Babu...
The complicated nature of wine has taken Kenyans to class, to study it. In a wine class in Nairobi, men and women in their 30s and 40s sit in rows practicing how to swirl and smell the notes of...
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kupitia Ukurasa wake wa twitter amethibitisha kuwa vuguvugu la maandamano ya siku tatu mfululizo kuanzia Jumatano lingali bado lipo kwenye ratiba ya Muungano wa...
Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki...
Starlink provides internet access to over 40 countries globally, with Tanzania set to become the third country in Africa after Nigeria and Mozambique.
The Citizen reported that the service will...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 37 anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Milca (48) kufariki dunia wakati wakifanya mapenzi kichakani eneo la...
Kiukweli Jeshi la polisi limetumia hekima kuzuia Maandamano ya UVCCM kwani wanaokufaga huwa hawahusiani kabisa na Maandamano mfano Akwilina pale Kinondoni Magomeni
Hata Maandamano ya Kenya...