Kwa Mujibu wa Serikali,bangi ndio kilevi au dawa inayotumiwa zaidi na Watanzania..
Pia Kuna Mikoa inalima Bangi Kwa Ajili ya Kuuza Nje ya Nchi ukiacha Mikoa inayolima kwa.matumizi ya ndani licha...
Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo.
Picha: Rais Mstaafu wa Kenya...
Urusi inapapatika kote kujaribu kutafuta uungwaji mikono
Kenya's President William Ruto with Russian Foreign Minister Sergey Lavrov at State House Nairobi on May 29, 2023. Looking on are...
Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR...
Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel...
Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242.
Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya...
Rais wa Kenya, William Ruto amedai Watumishi wanaotumika kama Wakala wa Ukusanyaji Kodi kuwa wanajihusisha na rushwa na kushirikiana na wakwepa kodi hali inayochangia uchumi wa taifa hilo kuyumba...
JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA..
Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema Serikali yake inatarajia kutambulisha vitambulisho vya kidijitali vyenye data ya kila raia.
Wakati akifungua Mkutano Mkuu wa saba wa ID4Africa Augmented...
Wanasemaga siku ya kufa nyani, mito yote huteleza.
----
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa mnada wa chai unatarajiwa kuanza mwezi Juni mwaka huu ambapo mara baada ya kuanza hakuna mtu...
Wakuu hii issue ya shakaola, Kenya inamaanisha nini?
Je, usalama wa taifa ni mdogo Kenya?
Kweli, anakufa mtu mmoja hadi mtu wa mia moja sabini na tisa, usalama wa taifa haujui?
They sneak the president in through the back
When President Ruto has to spend the night and arrives at his hotel, he probably won't be strolling through the front doors. Could you imagine the...
Naibu mhubiri wa zamani wa Kanisa la Good News International, Titus Katana amesema Watoto walikufa kwa njaa baada ya kufungiwa kwenye vibanda kwa hadi Siku 5 bila Chakula wala maji kisha kufungwa...
Rwanda contributed the highest volume of profit earnings for Kenyan bank subsidiaries in East Africa and beyond last year, a new report by the Central Bank of Kenya (CBK) said.
The CBK said the...
Yesu wa Tongaren ameachiwa kuendelea na shughuli zake baada ya waliomshitaki kudai yeye sio Yesu Original.
Waendesha mashtaka wakishindwa kuthibitisha ni vipi Yesu wa Tongaren sio Original hivyo...
Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani...
Kenya to build 3 more ships for Uganda fuel
Kenya plans to build three more ships to enhance the export of oil products to Uganda through Lake Victoria.
Energy and Petroleum Cabinet...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.