Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lawyer Mugambi Nandi Joins Lucrative London's Legal Field TWITTER A Kenyan lawyer has made a major career milestone after being admitted to the lucrative legal bar in the United Kingdom. Lawyer...
1 Reactions
5 Replies
991 Views
Rais William Ruto amesema kuwa kupunguza bei ya Mitungi ya gesi kutoka Ksh. 2800 hadi Ksh.300 na Ksh.500 kwa kilogramu 6 haitawezekana ifikapo Juni kama alivyokuwa ameahidi mnamo Machi 2, 2023...
0 Reactions
5 Replies
813 Views
Mahakama imemuachia Yesu wa Kenya baada ya wanasheria wake kuhoji mahakama kama inafikiri sio yesu halisi original basi wamlete yule origina wanae mujua, mahakama ikawa kimya bila jibu na ikamua...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Kuna pisi inaimba nyimbo za dini inaitwa kelsy kerubo Nataka nije nilete pesa kwake aya wakenya nipeni file lake je bado mbichi au Ndio anagawa tuu (demu wa Kijiji)
3 Reactions
6 Replies
883 Views
Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo...
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Tuna Imani na kiongozi Wetu Tundu Antipas Lisu lakini bado hajafikia level za Wapinzani wa huko Duniani, na huo ndio ukweli. Jana hapo Kenya palikuwa na majibizano ya ana kwa ana Kati ya Raila...
2 Reactions
2 Replies
902 Views
Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu. Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao --- President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa akili ya haraka haraka yes Maandamano yanarudisha nyuma nchi lakini RAILA ODINGA ni tatizo kwa kenya. Yes kuna mambo aliyapigania hapo nyuma wakapata katiba mpya lakini kwa wakati huu...
0 Reactions
6 Replies
660 Views
Umati unayo hudhuria mikutano ya Ruto unatisha.Hapa Nakuru strong hold ya team kieleweke. Tangatanga mnatisha.
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Flight 507 was one of three scheduled to depart from Douala Airport around midnight that day, with two other flights operated by Cameroon Airlines and Royal Air Maroc.[9][10][11] The aircrew of...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu...
3 Reactions
224 Replies
15K Views
Polisi Kenya ulimpata ushahidi wa kutosha kuhusu miili ya wafu ikiwa haina viungo hasa figo na sehemu za siri na kupata maelezo ya manusura juu ya mwisho wa mfungaji ilikuwa na kubaini kulikuwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
EACRF struggles with a belligerent host already seeking Plan B SATURDAY MAY 13 2023 EACRF AND SADC SOLDIERS Graphic illustration of soldiers entering and exiting doors. PHOTO | NMG Summary...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport). Utaratibu ukoje Kenya?
4 Reactions
217 Replies
7K Views
"WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na...
3 Reactions
4 Replies
863 Views
Ethiopia has toppled Tanzania and Uganda as the leading destination of Kenya’s investment abroad, buoyed by the expansion of local firms in the giant neighbouring market. Fresh data shows that...
4 Reactions
4 Replies
723 Views
Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Ni katika mazishi ya marehemu Field Marshal Mukami Kimathi
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la...
1 Reactions
5 Replies
896 Views
Back
Top Bottom