Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023.
Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria.
Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na...
Kiakili ya kawaida haiwezekani watu zaid ya 100 uwashawishi kwa maneno matupu wafunge mpaka kufa hiyo haiwezekani tena ukizingatia uhai ni kitu cha thamani sana ukikipoteza hauwezi kuupa kwa namna...
Jibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa...
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu...
TV ya NTV imelipoti leo kwamba wanasaka kiongozi wa kanisa moja kutoka Kenya alieshirikiana na mwenzie wa Uganda kurubuni na kupotosha kondo za bwana kuuza mali zao zote kwa matumaini ya kuelekea...
Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa...
Zaidi ya watu 100 wamehamishwa kutoka kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge kukamatwa...
Nakumbuka Wakati anayadhibiti maandamano ya UKUTA yaliyopangwa na Chadema Shujaa Magufuli alimwaga askari polisi kila kona Makamanda wa Ufipa st wakasalimu amri
Ndivyo imetokea Nairobi leo...
Raia wengi wa Kenya hasa wanaofanya kazi kati kati ya Jiji la Nairobi hawajafika mjini kutokana na woga wa vurumai za waandamanaji na mabomu ya machozi.
Maafisa wa polisi wameshika doria katika...
Controversial pastor Paul Mackenzie was on Tuesday freed by the Malindi court and then rearrested to face fresh charges in Shanzu High Court.
Principal Magistrate Ivy Wasike released Mackenzie...
Uchunguzi (autopsy) uliofanywa kwa miili 110 ya waliokuwa waumini wa Kanisa la Good News International la Mchungaji Paul Mackenzie umebaini kuwa, baadhi ya waathiriwa waliuawa kwa njaa na wengine...
Polisi wamelazimika kutumia vitoa machozi kutawanya Wabunge wa Upinzani waliowasili nje ya Ofisi ya Rais wakitaka kumkabidhi Rais barua inayodaiwa kueleza kwa kina matakwa ya Muungano wa Azimio...
Hiki ndicho kinachoendelea huko Mathare, Barabara ya Juja Rd muda huu.
Ikumbukwe Polisi wamefanikiwa kuwazuia waandamanaji kuingia kati kati ja Jiji lakini Hali ni tete katika maeneo mengi...
Sina nia ya kukebehi imani au dini ya mtu. Lakini lazima itakuwa tumerogwa. Nani AMETUROGA?
Hizi imani vipi? Yaliyotokea Kenya, yanatafakarisha. Pastor Mackenzie na Pastor Odero wamewashawishi...
Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Bei...
Rais William Ruto ameapa kutumia nguvu zote alizonazo kuhakikisha maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika Jumanne wiki ijayo, hayatazidi kuwa machafuko na ghasia.
Hisia za Ruto zinafuatia...
Aisee kwa hizi nyakati Bording School ni bora zikafutwa kila mzazi alee watoto wake mwenyewe, hii ya kutegemea sijui Matron ati ndio akufundishie tabia mtoto ni kujidanganya.Wazazi kila mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.