MY TAKE; Tunawashukuru Sana majirani zenu kwa kuziamini Hospitali zetu na kuja kuzitumia huduma zetu, Wakenya ni jirani yetu na mtumizi mzuri Sana wa Hospitali zetu.
Watangazaji wa Kituo cha Redio cha Mwinjoyo FM kutoka Nakuru Nchini Kenya wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya wanaume waliovalia nguo nyeusi na Viziba Sura kuwataka wazime matangazo na kulala...
PowerAfricaSolar recently made a significant contribution to rural communities in Kenya by donating 200 portable solar lights to vulnerable families with school-going students.
This initiative...
https://www.theeastafrican.co.ke/tea/news/east-africa/eacrf-moves-on-after-nyagah-exit-4224986
MY TAKE; Kwanini wakenya wasiandamane kutaka KDF kuvunjwa na kuanzishwa jeshi linguine ambalo litakua...
Microsoft has launched its first software testing centre in Africa through a partnership with IT firm Techno Brain in Kenya.
The multinational is outsourcing its testing and quality assurance to...
Nairobi ni jiji kubwa kwa upande wa kenya na ndio jiji lililokuwa linashikilia nafasi ya kwanza katika majiji makubwa afrika mashariki kabla ya jiji la Dar es salaam kufanya revolution na kuwa...
Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa...
Wakenya wanatarajiwa kuongezewa bei ya mafuta kwa zaidi ya Ksh.10 iwapo Muswada wa Fedha ya 2023 utapata idhini kutoka bungeni.
Muswada huo ambao sasa uko mbele ya Kamati ya Fedha na Mpango wa...
Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amewasili katika kaunti ya Kilifi kuongoza awamu ya pili ya ufukuaji wa maiti katika shamba la Shakahola. Shughuli hiyo iliyokuwa imesitishwa kwa muda...
Awuor aliruka na kukimbia katika kituo cha polisi cha Dandora kumshtaki Otieno kwa kukosa kushiba tendo la ndoa Alisemaalimpakulia utamu wa mwili wake kwa masaa mawili baada ya kulipa KSh 4000...
The 1971 Kenyan Coup Attempt | A Chronicle
In June 1971, 13 men were tried and jailed for conspiracy to overthrow the government of Jomo Kenyatta....prosecutor says 12 attempted to enlist aid...
Hazina ya Kitaifa ya chini Kenya kupitia muswada wa Fedha ambao utawasilishwa Bungeni hivi karibuni imependekeza kuwa per diem za wafanyakazi wa Serikali wanazolipwa kwenye vikao na shughuli rasmi...
Hazina inalenga watu wanaopata mapato ya juu, Watumiaji wa M-Pesa na watumiaji wa mafuta kuongeza nyongeza ya Ksh. Bilioni 364 za ushuru katika bajeti mpya kupitia mpango wa ukusanyaji wa mapato...
Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya.
Kwa...
Chama cha Madaktari, Wafamasia na Wanasheria wa Meno wa Kenya (KMPDU) kimepinga marekebisho yaliyopendekezwa kwa kanuni za Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) yaliyotangazwa na Rais William...
KENYA: Zaidi ya Watu 100 wameondolewa katika kanisa la Mchungaji Ezekiel Odero, la New Life Prayer Centre and Church, baada ya Mchungaji huyo anayedaiwa kuwa Mshirika wa Paul Mackenzie Nthenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.