Polisi wanapambana kudhibiti sala zilizopangwa na wafuasi wa upinzani (NASA) katika viwanja vya Jacaranda huko Embakasi, Nairobi
Polisi walirusha mabomu ya machozi kila mahali ikiwa pamoja na...
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa rasmi hii leo,kwa muhula wa pili mjini Nairobi katika uwanja wa Kasarani
Serikali imesema viongozi 20 wa mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria...
Viongozi waliomzunguka wamekua kwenye mstari wa mbele kumshinikiza akubali kuapishwa kama rais wa nchi, lakini leo kwenye kongomano, amekatalia mbali hilo wazo akisema kwamba ni kosa la uhaini na...
Msichana huyu alizawadiwa KES 100,000/TSH 2,000,000 Na Albinism Society of Kenya. Walimuahidi kuwa watalipa karo ya shule hadi atakapofika kidato cha nne. Ako sawa kujieleza kweli
Wakati Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Kenya Jumanne ya wiki ijayo, Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) nchini humo pia umetangaza kuapishwa kwa Raila Odinga kuwa Rais wa taifa...
NSSF scales down Hazina Towers to 15 floors instead of 39
By Macharia Kamau
Published: Nov 24th 2017 at 22:17, Updated: Nov 25th 2017 at 00:21
Nakumatt Lifestyle along Morktar Daddah Street...
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.
Tanzania (30.75tr Tsh) +...
Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Kanyi (Jaguar) amethibitisha taarifa za gari lake kupata ajali Jumapili ya leo.
Asema walinzi wake binafsi pamoja na dereva wajeruhiwa na wanaendelea na...
Mamlaka ya mawasiliano ya Kenya, imetangaza kupigwa marufuku kwa upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja wa mikutano ya kisiasa, katika kile ilichokiita “kusaidiA kupunguza hali ya taharuki...
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya, Raila Odinga, amerejea nyumbani baada ya kujichimbia kwa siku nne Zanzibar nchini Tanzania.
Mwanasiasa huyo ambaye amegoma kuutambua ushindi wa...
Katika orodha ya wageni waalikwa wamo Cyrus Jirongo (Joseph Momanyi); Michael Wainaina (Miriam Mutua) na Odinga na mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka.
Nairobi, Kenya. Rais Uhuru Kenyatta...
Shirika la fedha duniani (IMF) limetoa wito kwa serikali ya Kenya kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko la deni la kitaifa ambalo sasa linakadiriwa kukaribia asilimia 60 ya pato la taifa...
Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima...
Uganda, Tanzania inaugurate EACOP
[http://www]
Uganda, Tanzania inaugurate EACOP
Thursday, Nov 23, 2017
Uganda and Tanzania last week marked their commitment to the East Africa Crude Oil...
Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi nchini Kenya NTSA imependekeza adhabu mpya miongoni mwa madereva walevi.
Madereva walevi sasa watalazimika kufanya kazi katika vyumba vya kuhifadhia maiti ili...
Hii ni kutokana na vurugu za Kisumu ambapo kila wakiandamana huwa wanafanya vituko vya kila aina ikiwemo kuchoma moto biashara za watu na magari na uporaji.
Lakini hata hapa Nairobi huwa...