Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

KENYA: Raila Odinga atangaza kutogombea tena nafasi ya Urais baada ya kubwagwa na Uhuru Kenyatta katika Uchaguzi uliofanyika 8 Agosti mwaka huu. Siku ya Ijumaa Tume ya Uchaguzi chini ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakuna Mtu ambaye nilikuwa namuheshimu nchini Kenya kama aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Umoja wa Vyama wa NASA kama Raila Omolo Odinga ila kwa Kitendo chake cha Kipumbavu alichokifanya jana...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
President-elect Uhuru Kenyatta, who won a second term, has 26 days to convene the first sitting of Parliament. The Constitution gives the President sweeping powers to decide when the bicameral...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto will be sworn into office on August 29 if no petition challenging their victory is filed. “The President-elect shall be sworn in on the...
1 Reactions
1 Replies
714 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Construction on the Standard Gauge Railway from Nairobi to Naivasha has kicked off after affected families received compensation. Naivasha subcounty commissioner Isaac Masinde said Sh1.7 million...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
93 post-poll violence related casualties reported – Red Cross Aug. 12, 2017, 6:00 pm By ABBAS GULLET A group of demonstrators light bonfires on a road in Kibera slums on Saturday in protest of...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Mgombea wa Urais wa Kenya kupitia NASA,Raila Odinga amejitokeza na kupinga matokeo ya awali ya Urais ya Kenya yanayotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya yakimweka mbele Rais Uhuru Kenyatta. Hoja...
11 Reactions
78 Replies
9K Views
OFFICIAL PRESIDENTIAL RESULTS: 01:20am August 09, 2017 UPDATE: Tume ya Uchaguzi(IEBC) Imetangaza matokeo ya vituo 29,209 kati ya 40,883. Uhuru Kenyatta kura 6,044,745 (55.27%) na Raila Odinga...
32 Reactions
1K Replies
152K Views
Wameanza fujo Mathare, Kibera na Kawangware. Dont care which side you are on but if this guy is allowed to talk on Live TV ni very risky at this time. Hajasema the next step na kameanza kunuka, je...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Odinga ana umri wa miaka 72 sasa Bila shaka odinga amekuwa katika siasa za Kenya kwa muda mrefu sana. Amesimama urais zaidi ya mara tatu na akashindwa kila wakati Is this a sign that he should...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Wadau kwa mujibu wa Kenya National Bureau of Statistics, idadi ya watu kama ifuatavyo: 1) Wakikuyu - 6,622,576 2)Waluhya- 5,338,666 3) Wakalenjin - 4,957,328 4)Wajaluo -4,044,440 5) Wakamba -...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo. Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli. Tusuburi...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Hili wamesema kwamba wakiruhusiwa kuingia na kufungua server za IEBC, basi watakubali kushindwa. Mimi binafsi naona kama washauri wa Raila watakua wanamdanganya na kumzungusha zungusha mzee wa...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
The African Development Bank has agreed to finance Tanzania’s central railway projects after several stakeholders pulled out. Speaking in Dar es Salaam last week, the bank’s East African managing...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya, ambao ulishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, umeapa kuendelea na maandamano wenye nia ya kubatilisha kile ambacho unasema kuwa, matokeo "feki" ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuliaminishwa kuwa Uhuru na Ruto wameshiriki kuua watu uchaguzi mkuu wa Kenya, yakaletwa mashitaka wakapelekwa Thehugue (uholanzi)kesi ikaishia ilipo ishia,kukosa mashahidi. Hivi Leo hayo hayo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…