Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa...
Kitendo Cha rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi wa mkutano wa chama Cha Upinzani za CHADEMA na kushangiliwa na wanachama hao, ni funzo kwa wanasiasa wa Kenya ambao kwao ni siasa za mivutano...
Kenya kuna uhaba wa dola za Marekani sahii tunauziwa dola moja kwa shiligi za kenya 137. Shilingi ya kenya ilikua shilingi 21 za bongo sahii ni 18.
Bongo dola ni pesa ngapi
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeanzisha msako mkali dhidi ya kile ilichotaja kuwa kupenyezwa kwa ajenda ya LGBTQ shuleni. Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu aliwaambia maseneta siku ya...
Polisi wa #Mombasa wanachunguza kisa cha Mercy Masambaga anayedai kujifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya #Portriez Februari 26, 2023 na kukabidhiwa mtoto aliyekufa siku nne baadaye
Anasema...
Habari ya saa hizi wakuu,
Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na...
Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza...
Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure.
Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu?
Kwamba mama alikuwa...
1. How do I brag yourself as a big economy in EA and fail to secure parts of your land ? How big are you?
2. How can you isolate some parts of your land to bandits and embrace only few?
3. Sapose...
Number kama zimeandikwa na mtoto wa kindergarten!!? Nipo hapa Kawe roundabout naongozana na Gari ya huko kwenu, nimeona aibu mimi Mtanzania kwa niaba yenu.
Ona hapo number plate ya Tz.
Way...
Huyu huyu Raila Odinga aliyekuwa darling wa Mzungu alikuwa kila kukicha yuko Ulaya au USA kuchongea wenzake, Raila Odinga aliyepeleka wenzake The Hague leo hii Mzungu kamgeuka na kapigwa ban...
Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano.
Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha...
For those Tanzanians that were asking about the progress of "ONLY BRT" marked roads your questions have been answered. Kenya have introduced new locally assembled BRT buses in Nairobi apposed to...
The government and stakeholders in the public transport sector have been challenged to ensure the country’s public transport system is safe, efficient and without any form of harassment.
This...
Taifa la Kenya linawaka moto kufuatia Mhimili wa Utendaji kuingia kwenye mgogoro wa kikatiba na Mhimili wa Mahakama (ambayo ndiyo inastahili kutafsiri sheria ikiwemo Katiba).
Mataifa ya Magharibi...
Wakuu kwema?
Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote...
Siku chache baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kuruhusu Jamii ya Watu wa LGBTQI kuunda Chama chao, Makamu wa Rais, Rigathi Gachagua amesema kuwa hawawezi kuruhusu kitendo hicho, kwani Rais...
Rais wa Kenya, William Ruto na mkewe wametambulisha mfumo mpya wa kufanya maombi kwa ajili ya Nchi hiyo kwa kufunga kutokula na kufanya maombi mara moja kwa wiki ikidaiwa kuwa utaratibu huo pia...
Elijah Mwangi Muthoga, alikamatwa Desemba 2021 akiwa na lita 11 za mafuta ya transfoma ambayo yalikuwa yakitumika kupika chipsi kwenye Hoteli yake na pia kupakiwa tena ili kuuzwa kama mafuta ya...