THIS IS MY STORY:
This is the house I used to rent during my early years of high school. I would wake up at 3am everyday to de-weed people's farms for pocket money. This reminds me of the phrase...
Rais wa Kenya, William Ruto yupo tayari kupambana na viongozi pamoja na mashirika mbalimbali ambao hawataki kulipa kodi ya Serikali.
Amesema kwamba hataki kuona watu wanyonge ndiyo wanaolipa kodi tu
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na...
Nikiwa hapa uwanja wa kasarani Kenya kama mmoja wa watu wa uangalizi wa uchaguzi toka timu ya Afrika mashariki, Umoja wa Azimio unaongozwa na Raila Odinga unafunga kampeni Katika viwanja hivi vya...
Kutoka tovuti ya Nation:
https://nation.africa/kenya/news/politics/kenya-has-only-one-president-and-it-is-me-william-ruto-tells-raila-odinga-4101572
Huku kwetu bahati mbaya busara hii ya kutenga...
Utawala wa Rais William Ruto umekopa zaidi ya Sh137 bilioni katika muda wa miezi mitatu tangu kushika wadhifa huo, na kurekodi wastani wa kukopa kila mwezi wa Sh45.8 bilioni, katika kipindi...
Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo.
wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue...
Kenya Revenue Authority (KRA) is linking its systems to all telecommunications companies in Kenya to monitor in real-time purchase of airtime, internet, & mobile money transactions. The system...
Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye.
Mara ya kwanza Museveni aliomba...
There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months...
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake...
Edwin Chiloba, kijana Mkenya ambaye alishajitokeza hadharani kama mtetezi wa kundi la LQBTQ nchini humo apatikana ameuwawa na Mwili wake kuwekwa ndani ya sanduku jijini #Eldoret
Picha ya mwisho...
Huyu Ruto si alisema hatakopa akimshutumu Uhuru. Imekuwaje tena? Siasa bana.
President William Ruto’s administration is targeting borrowing Sh3.6 trillion in his first five-year term, upending...
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia...
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022
Shirika la Mpango wa Chakula...
Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina.
Bodi hiyo...
Nakumbuka kipindi fulani Magufuli akiwa Rais basi tukasikia habari kuwa Wakenya wanamfagilia mbaya na wangetamani kuwa na Rais wa aina hiyo. DP wao ndio Magufuli, sio Ruto kama wengi walivyodhani...
Africa Mashariki inazidi kupamba moto.
Nitaweka picha za mradi wenyewe.
The "East Africa Commercial & Logistics Center" in Dar Es Salaam, Tanzania, called EACLC for short, which is referred to...
Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.