Kwa wale wakenya, wapenzi wa movie , Je Dj Afro bado anaendelea na kazi ya kutafsiri. Je ana movie mpya za 2022. Je sehemu gani Nairobi , nitakapoweza kupata CD zake ?
Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana...
Ili kuongeza mapato na kupunguza ukwepaji wa kulipa kodi Kenya inapanga kuunganisha mfumo wake wa kutoza kodi na watoa huduma za simu. Kenya inawalipa kodi 7, 000,000 wakati inawatumia simu za...
Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9.
Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa...
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KeMRI) imeeleza kuwa licha ya kuwepo kwa visa vya Kisonono katika miaka ya nyuma lakini kirusi cha ugonjwa huo kimerejea kwa aina tofauti kikiwa...
Foreign currency deposits in Kenyan banking institutions rose by 21.6 per cent last year with diaspora remittances being among the major drivers of the growth.
Monthly data from the Central Bank...
Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana.
Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga.
================...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022.
Amesema...
Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana.
---
Secret land deal that made Kenyatta first president
Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread...
Wajuvi wa mambo mliokwea hizo ndege nani zaidi kati ya ET vs KQ katika nyanja zifuatazo;
1. Reliable & Convinient booking system (including payment mode = mobile money, Credit card, CASH/local or...
https://www.the-star.co.ke/counties/nairobi/2021-03-28-bus-rapid-transit-project-in-kasarani-area-takes-shape/
Bus Rapid Transit project in Kasarani area takes shape
They are to operate...
Kenya Airways has nothing to fear about return of Uganda Airlines – envoy
SUNDAY DECEMBER 9 2018
Insight. Kenya’s High Commissioner to Uganda, Mr Kiema Kilonzo, during the interview in...
Nairobi is full of conmen. I learnt the hard way.
So this year kitu hapo April I wanted to sell a laptop I had that was kinda problematic. I had bought the laptop back in 2018 for 35k. It was a...
Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.
Je, mahakama zetu zina uwezo huo?
Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia...
Mkandarasi mkuu wa Meta wa usimamizi wa maudhui Afrika, Sama, alitangaza mapema Jumanne kufungwa kwa kitengo chake cha usimamizi wa maudhui katika kitovu chake nchini Kenya, akitaja hitaji la...
Ama kweli kutesa Kwa zamu. Haya si kwa majirani tu bali hata kwetu wajiandae:
“They were very vocal in telling Kenyans not to vote for thieves yet they were the real thieves."
Hawa siyo kwao tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.