Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
Candidates
Vote
William...
Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki...
Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa
Timu ya Madaktari Bingwa...
Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana...
Sikiliza:
Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya...
Some of the Dolphins spotted in Watamu area . Global Vision International and Watamu Marine association are currently in the process of conducting research for the sea mammals. photo Alphonce gari...
Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza;
Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu...
Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura...
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.
(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park...
Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI.
Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema...
Two link roads connecting Kenya and South Sudan will cost at least Sh22.6 billion as the roads agency seeks to open up the northern corridor.
The Kenya National Highway Authority (KeNHA) says in...
Moses Wetangula
President-elect William Ruto’s Kenya Kwanza has now nominated the alliance co-principal and Ford Kenya party leader Moses Wetangula to the position of Speaker of the National...
Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani...
Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9
Akizungumza kwenye...
Kenyans have witnessed and the whole world has seen the four IEBC commissioners walking out of IEBC auditorium few minutes before the final announcement of presidential results.
Then Juliana...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio La Umoja One, Raila Odinga leo anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais yaliyotangzwa na Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) na kumpa ushindi William...
Mawakili wa IEBC kesho ni hawa hapa:-
•Githu Muigai,
•Kamau Karori,
•Abdikadir Mohamed,
•Eric Gumbo
•Peter Wanyama
• Edwin Mukele.
Mawakili wa Azimio na Uhuru Kenyatta kesho ni hawa:-
•James...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na...
Rais mteule, William Ruto amewasilisha orodha ya wawakilishi kwa kamati ya mpito ambayo ina jukumu la kuhakikisha makabidhiano ya mamlaka kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta hadi kwa Mrithi wake...