Habarini wana MMU
Mimi ni kijana wa miaka 27 nnaejiweza kumudu mahitaji yangu na hata ya famiilia ingawa mimi ni mleemavu nmebaatika kusoma na kupata kazi.
Nipo single hii ni kwasababu my...
Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama...
Nafuta rafiki wa kike, umri miaka 20 hadi 24, baadae aje kuwa mchumba na hatimae kuwa mke. Awe anaishi Daresalaam, na mkristo.
Mim nina umri wa miaka 26, na ninafanya kazi. nipo Dar pia. Karibu...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 nimeajiriwa kwenye sekta ya fedha, ni mrefu (6 feet), maji ya kunde.
Sina ubaguzi wa dini ila mchumba asizidi miaka 37.
Ahsante
Halo Guys (Ladies and Gentlemen)
Kama uzi unavyojieleza,
Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni
Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM
Sifa: Awe mkristo...
Natafuta msichana wa kuanzisha nae mahusiano ili tue mke na mume kiuchumi siko vizur ila hicho kwenye picha ndicho kitega uchumi changu kwa alie tayar anichek 0718318745'; 0677950996
Sent using...
Mtafutaji hachoki, nahitaji mchumba (mke) awe anaishi kanda ya ziwa.
Mimi n kijana mjasiliamali nina umli wa miaka 33.
Ninatafuta mke mwenye umli kai ya miaka 26 hadi 33,
awe mkristo, elimu...
Hi guys,
Mimi ni kijana wa miaka 26, fresher kutoka Chuo. Nahitaji msichana wa angalau 20-25 kwa ajili ya serious relationship na baadae ndoa. Awe muislam na awe awe tayari kuambatana nami popote...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, mtanzania,Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu, ambaye...
Mimi ni mwanamume ,wasifu wangu ni kama ifuatavyo;
Urefu:173cm
Umri 32 yrs
Job:mjasiriamali
Elimu: form4
Dini: Mkristo
Colour:mweupe kdgo
Body size:average
Natafuta mwanamke mwenye sifa...
Habari za majukumuu wakuu
Naomba niende kwenye maada mm ni kijana wa kiume umli 19 nimejiajili na kazi za apa mjini natafuta rafiki wa kike wakuchat nae kubadilishana mawazo na kupeana...
Beauty lady tested hiv+ age between 18 -30 yrs needed quickly for marriage, pls Pm me if ur interested, also non Hiv+ are welcomed if they r ready to live with me unconditionally am tested Hiv+.
Mimi ni Mwanaume mwenye miaka 26 najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwa hili kwa lengo la hapo juu kwenye heading Nataka kumuoa.
Sifa;
Umri: miaka 19-22
Elimu : Angalau Certificate,Diploma...
Mimi ni kijana wa kitanzania,
Mwenye miaka 33 nakaribisha,
Wanawake kwa wasichana wenye,
Nia ya dhati ya kuanza uhusiano,
Utakao elekea katika ndoa.
Sifa;
Ucha Mungu,
Dini yeyote,
(Nipo tayari...