Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Serious please. Age: 21-26. Education: Not necessary. Tribe: Any. Marital status: Any. *ADDITIONAL QUALIFICATIONS:* Uwe mfupi au mrefu kiasi. Usiwe na mtoto, na kama unaye, basi mmoja na si...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita. awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia. kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Nina umri wa miaka 23. Kazi yangu mfugaji nipo Bariadi. Elimu yangu darasa la saba..lakini sitofautiani na mwenye PHD. Dini yangu mkristo. Kijana mrefu mweusi kiasi. Kabila langu msukuma wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri 25 ninapenda Sana nipate mwanamke ambaye yupo tayari kuwa na Mm Mm ni mwajiriwa Kuhusu dini sichagui dini wala kabila umri kuanzia miaka 18 mpaka22 Uko tayari nipm...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Habari za usiku huu wana JF, Tangu nijiunge na JF nimebahatika kuona thread kadhaa za wanaume walioleta mrejesho baada ya kutangaza kutafuta mke japo wengine wamepotea bila kurudi lakini miongoni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajanvi, Namkaribisha Pm mwanamke aliyetayari kwa moyo wake wote na siyo kwa kujaribu, awe mweupe wastani, mrefu, mwembamba na elimu kuanzia form six na kuendelea. Sifa zangu mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Naitwa Loveness Senzigwa nipo Usariver Arusha nahitaji nipate mchumba mwenye upendo wa dhati, nipo na mtoto mmoja wa kiume umri wake miaka minne, nahitaji mwenza tuweze kuanza maisha dini awe...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Naitwa Selemani niko Dar umri miaka 26 natafuta mchumba awe mfupi kidogo, mnene kidogo, mweupe au maji ya kunde na awe mwelewa na mkweli. Tuwasiliane kwa namba hii 0717188605.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Looking for a girlfriend aged 20-25yrs,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,, natafuta rafiki wa kike,, kwa aliye tayari anicheki kwa simu Namba 0744554155.. Dini Yeyote, elimu Yeyote
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe na miaka 21 mpaka 26 elimu kuanzia kidato cha nne asiyejichubua aliye interest tuwasiliane pm plz. Sent using...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Baadhi ya makosa yanayofanywa na baadhi ya wanawake katika mahusiano na kufanyo yasidumu..... Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kwel kila kitu mazoea, yan kidume kila akivaa salama dude chaliiii! Na na demu kakomaa kitu kavu haendi! Usku mwema Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Wadau, Mimi mwanaume, natokea Kenya, Nairobi Lakini niko na encounter kadhaa za bongo ila mimi sio mswahili so Msijali lugha yangu sana. Nawaheshimu watu wa TZ kwani wengi ni watu wa heshma...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamume mcha Mungu(mkristo), natafuta mwanamke wa kuoa , umri wangu ni miaka 30+, natafuta mtu ambae ana miaka ishirini na kuendelea, kwa mwanamke ambae upo serious ani pm, ila pia mimi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mchumba sasa,upweke tu unanitesa mimi,kwa aliye tayari namsubiri pm sichagui dini,kabila,rangi hata umri Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
642 Views
Nina mwanamke ambae natarajia kumuoa cku za usoni.lkn Luna jambo ambalo linanitia shaka kwake!! Yaani Mara nyingi amekua akiniambia kuwa wanaume wengi wanamtaka na wengine wanataka kumuoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Husika na kichwa habari hapojuu.Nina mke na watoto natafuta mwanamke aliyetayari Kwa mapenzi tu aliyekua na stress kama Mimi ilitufarijiane sihitaji kuoa just mapenzi tu aliyekua tayari aje...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nyie masister duuu! Wa DAR fuen sindilia zenu kweny makwapa znatia kinyaaa! Haiwezeka mpke wanja alafu sindilia na chupi zina madoa na harufu ya mbege! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6, sina kazi naish tu home Dar es Salaam na wazazi wangu natafuta mchumba aje kuwa mume. Sifa; Aweze kunipenda Awe mcha Mungu Alietayari kuoa sio...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…