Kwa rehema za Manani natanguliza amani
Moyo upo mashakani macho yapo gizani
Si lakuvunda wala la ubani kwake taabani
Kwa penzi lake la thati moyo upo rehani
Nikupendae ni ww wengine hawana...
Habari wana JF,
Mimi ni mvulana mwenye maambukizi ya VVU. Nahitaji mwanamke mwenye VVU ambaye atakuwa mke. Sichagui dini wala kabila. Umri kuanzia miaka 27 mpaka 35. Nipo serious jamani. Sihitaji...
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, elimu yangu ni bachelor degree, mimi nipo Mpanda ndipo ninapofanya kazi. Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae, kigezo cha mwanamke awe angalau na diploma au zaidi, mwanamke...
Sometimes in life all you need is peace and love actual most times you need someone to care about you make you feel special make u relax one person you can share your thoughts without being judged...
Habari wanajf...
Mimi ni kijana bora...mwenye ucheshi na ustaarabu..
Nahitaji rafiki wa kike wa kuwa na mawasiliano nae...hata ikiwezekana kwa mapenzi ya mungu tuweze hata kuwa wapenzi .
1:UMRI...
Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU...
Habari za Muda huu wapendwa,
Mchumba wa kiume aambaye yupo tayari kuingia katika maisha ya ndoa anaitajika. Vigezo : miaka 30 mpka 36awe tayari kucheck afya, awe mkristo awe na kazi...
Salaam nyote,
Kama title inavyojieleza. Miaka yangu ni 34, elimu yangu ni Advanced Degrees, nimeajiriwa. Makazi yangu ya kudumu ni Dar, ila kwa sasa naishi South Korea (contract assignment)...
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa serikalini, natafuta mke mwenye umri kuanzia 18-28 elimu kuanzia kidato cha nne.
Tuwasiliane kwa email; mbwana26@gmail.com au PM
Habari wapendwa,
Tafadhali yule kaka aliyekuwa anahitaji mwenza mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumpa ujauzito naomba anitafute kama bado ajampata huyo mwanamke.
Habar za jioni marafiki, naomba mtu yoyote ambaye yupo Kigali anisaidie kunipa kampani ili nipajue vizur kigali. Nitakuja kwa matembezi tu ya siku moja maana bajeti ni ndogo sana.
salamu!
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta girlfriend mwenye sifa hizi
Umri: 18-29
Elimu: awe anajua kusoma na kuandika
SIFA ZANGU
Umri: 30
elimu:masters
Kazi:nimeajiliwa sekta binafsi...
Hi,
Rafiki wa kike anahitajika then aje kuwa mke if God wishes. Am 36, graduate nimeajiriwa serikalini, niko Dar. Uwe atleast na diploma, mwenye ajira.
Uwe Mkristo (Protestant/Pentecost). Umri...
Mimi ni kijana umri miaka 27 mjasiriamali na mkulima ambaye pia namalizia elimu yangu ya chuo(shahada ya uhasibu) dini yangu mkiristu (mkatoriki) naishi DSM nahtaji mwanamke vigezo miaka...
Habari zenu wapendwa wote humu JF,
Nimejitokeza ukurasa huu kwa mara ya kwanza, nikiwa nashida ya kupata mke.
Naitwa Michael umri wangu miaka 29 kabila masai naishi Singida Manyoni ni mfanya...
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli
sifa zangu
umbo ---wa kati
rangi-mweusi
dini-mkristo
umri-26
kazi-nimeajiriwa sekta binafsi
Sifa za ninae mtaka awe maji ya...
Mimi ni kijana wa Kitanzania ninaishi mkoa wa Dar . Nina umri wa miaka 30 . Elimu yangu ni Masters Degree . Nina ajira inayoniingizia kipato. Nimechoka ukapela . Hivyo ,ninamtafuta mwanamke wa...
Mimi ni binti 25yrs, nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja, iam going through hard time kiasi na kwa magumu ninayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika...