Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe mkristo pia aliye na shughuli yoyote hata mfanya biashara halali umri kuanzia miaka 23 kuendelea mpaka 28...
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi.
Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara...
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf,
Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa aliye serious kwa ndoa awe na umri wa miaka Kati ya 20-28 aliye tayari tuwasiliane pm tafadhari asanteni
Habari zenu wapendwa. Naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kufahamiana. Nimeshuhudia watu waliooana kipitia jf.Hivyo nami naamini nawezapata mke kupitia humu. Mimi nina 43yrs. nimejiajiri, mrefu...
Habari wanajamvi,
Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote...
Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo.
Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita...
Habari. Kuna ndugu yangu wa kiume anaitwa denis. Achagui dini. Ila mkristu angefaa zaidi.Ana miaka 36. Yuko serious anatafuta mchumba mwanamke mwenye umri kwanzia 21 baadae aje awe mke. Yeye kazi...
natafuta mchumba ili baadae aje kua mama wa familia yangu umri miaka 18-40,awe mcha Mungu.mwonekano awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana.Awe anatokea kusini Aliye tayari anitumie ujumbe...
Habari za jioni wana MMU,
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama...
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, I shall...
Naitwa Ahmed
Naish Dar es salaam Gongo la mboto
Umri miaka 24 Kabila Mndengereko
Natafuta Mchumba ili awe mke wangu
Nipo serious na sio masihala
Umri awe 18_23
Mawasiliano 0719 608563
Hi all
Mimi ni mwanamme wa miaka 29,ninatafuta mpenzi wa kike.
1.Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupenda mapenzi ya dhati,na mwenye kuthamini utu.
2.Sichagui rangi,ila kama ni mweupe...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 sasa nakuja hapa kwa mara ya kwanza, natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 23 kuendelea mpk 29. ambaye yupo tayari tuwewapenzi kwa ajili ya kuja kuoana...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka...
Mimi ni mwanaume Nina miaka 28 nahitaji binti wa miaka 20-25
aliyeko tayari kuanza mahusiano awe na hofu ya mungu, self respect, simple (no too much makeups) ametulia ,msafi,mcheshi, mrefu wa...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni.
Wasifu wangu;
Mimi ni mfanyabiashara...
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe na ngozi yake original ambayo haijachubuliwa wala kuongezwa chemical yoyote
2. Awe na nywele zake halisi 24hrs
3. Awe na nyuso kope na rangi ya macho yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.