Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26
Elimu ni Chuo kikuu.
Nimeajiriwa nipo kikazi Arusha.
Natafuta msichana wa Malengo nae atakae nipenda na nitakaempenda awe mama bora wa familia niwe baba bora...
Mimi ni kijana,33 years,nafanyakazi,mrefu kiasi,sio mweusi sana,mkristo,napenda kuangalia sinema na kusafiri,mazoezi na real estate. Natafuta msichana wa miaka kati ya 24-32 awe mpole na...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume...
Habari wana JF,
Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke:
Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze
Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae...
Habari zenu wana jukwaa,
Nimeanzisha Uzi huu si kwa utani bali ni kwa uhalisia na hisia za moyo wangu baada ya kuwa nimepitia mengi katika mahusiano.
Niliuambia moyo usukume damu ila...
Kama tittle ya thread inavyosoma hapo Juu. Natafuta mdada mwenye kujielewa wa kujenga nae maisha. Please kwa mdada yeyote mwenye kukidhi vigezo ani pm tuyaanzishe mahusiano.
Wasifu wangu...
habari za muda huu wakuu
mimi nikijana na umri wa miaka 20 natafuta mpenzi awe na umri wa miaka 18 hadi 20 elimu darasa la saba au kidato cha nne kama yupo anicheki pm.
Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu...
Habar zenu wana jamii forum hususani wale wa kitengo hiki? Kama kichwa cha habar kinavyoeleza natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke wangu. Elimu yangu ni degree moja nilihitimu mwaka 2015...
Naitwa Thom natafuta mchumba baadae mke nipo serious umri miaka 26 ninayemhitaji awe na 22-24 mm nimeajiriwa serikalini itapendeza akiwa ameajiriwa pia hata sekita binafsi dini mkristo nina mtoto...
Kazi yangu ni Engineer, ila natafuta mwanamke alie na uvumilivu kwa mimi na kazi yangu,kusafiri kwenda nje ya nchi ya tz na Tanzania ndio ajira yangu kuu wakati nikiwa kikazi,na mwanamke awe...
Umri wanu ni miaka 35, natafutarafiki wa kike abae ni mpweke kama mimi kwa ajiliya kuriwazana, kushaurina na kupeana moyo katika mambo mbalimbali ya maisha... kwa anaehitaji tafadhali anitumie...
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke
Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo...
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid...
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.