Habarini za wakati huu
Mimi ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 26 mwenye asili ya kinyamwezi. Nafanya shahada yangu ya kwanza ya Elimu kwenye moja ya chuo kikuu hapa nchini.
Ninahitaji...
Nina miaka 28, dini muislamu, kazi yangu ni mwalimu, nahitaji msichana wa kuoa awe na vigezo vifuatavyo awe muislam, awe na elimu kidato cha nne awe mweupe, wa asili siyo wa mkorogo awe hajazaa...
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
Natumai mko poa wanajukwaa hili.
Najitokeza kwenu leo kwa lengo moja tu la kutafuta mschana ambaye yuko tayari tuwe wachumba na hatimaye tufikie lengo la kuanzisha na kujenga familia.
Nahitaji...
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu.
Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu...
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?
Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende...
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu...
Naitwa Peter Odada, miaka 31
Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma)
Kazi biashara makazi Kilimanjaro.
SIFA ZA MKE
Awe na elimu kidato cha 4...
Salaam, wana JF
Kwa mara nyingine tena naleta mbele yenu maombi yangu nikiwa naamini kwa moyo wangu wote kuwa lipo jibu miongoni mwenu. Haja ya moyo wangu ni kumpata binti au mwanamke ambaye...
Naitwa obed Frederick, nahitaji msichana alie tayari kuwa na mimi hatimae tuweze kupanga maisha mimi ni mwajiriwa serikalini vigezo kwa mwanamke awe anapenda ibada awe mwalimu au nurse.
If...
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe...
Habari za leo wana JF.
Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji...
Mimi mwanaume, umri miaka 35 Naishi Dar es Salaam. Natafuta rafiki wa kike wa maisha umri miaka 30 mpaka 40. Awe anaishi Dar es salaam.Mengi tutaongea tutakapo onana
Karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.