Natafuta aliye tayari kuolewa ila siwezi kukuoa leo, lazima nikufahamu zaidi na wewe unifahamu. Baada ya kila mtu kuridhika ndio tupange mikakati ya harusi.
Kiukweli mimi nina miaka 25 ila kwa...
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa
napenda niende kwenye mada moja kwa moja
Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za...
Hodi wanaJF,
Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
#Respect to ALL JF Members#
#More Respect to ALL JF Ladies......Married and Unmarried Ladies, Single Moms and Single Ladies#
The intention of this thread to tell you that I am looking for a...
Habari za kutwa wana jf .
Natafuta mwanamke wa kuanza nae mahusiano ya kimapenzi.
Kwa mimi binafsi nimejiajili na ninge penda na yeye akawa ameajiriwa au amejiajili pia sio mbaya akiwa anasoma...
Habari za leo wana JF
Najitokeza mbele yenu ili kuweka wazi yaliyo moyoni mwangu. Sifa zangu ni kama ifuatavyo:-
- Umri miaka 43
- Elimu ya chuo kikuu
- Mkristo aliyeokoka
- Nina watoto 3 ambao...
Jamani leo na mimi nijaribu bahati yangu humu jukwaani, labda naweza vua samaki kwenye shamba la miwa, upweke huu! Mh! Kwa mlio zoea matusi na kejeli wala sivihitaji, mpite mkinyata kimya kimya...
Nilikuja hapa jukwaani kutafuta mchumba, nawashukuru wote mlioonyesha ushirikiano nami kwa namna yoyote ile. Pia napenda niwashukuru wote mlioniletea kejeli na matusi yote.
Asanteni sana...
Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene...
Mimi nina miaka 27, muislam, nina bachelor degree natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na yuko tayari kuolewa na awe na sifa zifuatazo
awe muislam
awe na umri wa miaka 18-30
awe anaishi...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26.
Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
Habari!
Naitwa Mahmoudy nipo Arusha, mimi ni mtumishi wa uma na kazi nafanyia Arusha, natafuta mchumba wa kiislamu awe na sifa zifuatazo;
Umri 18-22
Elimu kuanzia Form 6 na kuendelea.
Asiwe...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...
MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 43,NINA NIA THABITI YA UKWELI KABISA NATAFUTA MKE WA KUOA!AWE MTU MZIMA KUANZIA MIAKA 40 NA KUENDELEA,KIGEZO KIKUBWA AWE MKWELI NA SIO MBABAISHAJI,HAWE MWENYE...
Mimi ninae mtaka
Awe muwelewa
Muislam
Miaka 30/37
Awe ana uelewa wa
Hali ya juu computer
Awe ana swali
Mtoto ikiwa anae sio tatizo
Awe mstarabu
Awe namapenzi ya Kweli
Mimi nina miaka 38...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.