Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28, awe na shughuli inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm.
Hi members?
Right about me..Well I'm a guy who would like to meet some nice girl to talk here a little bit and see if we have anything in common then swap numbers and talk on the phone and meet...
This is to that man out there who is hesitant to enter into marriage because of the inability to contribute to conception. The man should be a christian and above 30 years of age, am a 26.
PS: No...
Za leo wana JF,
Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana
mzuri
aliye tayari kuanza maisha from zero to hero
mrefu...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA...
Mm naitwa John maiko naishi kinondoni mkwajuni mm ni maji ya kunde mrefu
saiz mwembamba saiz natafuta mchumba awe mweup mwembamba saiz mrefu
acwe na na mtoto wa mwenyeji Tanga Mbeya Moshi awe...
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa).
Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza...
Habarini,
Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree...
Mambo,
Natafuta mchumba baadae awe mke rasmi, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya Siasa na Utawala (Ba.PSPA-UDSM)
Kazi yangu Kwa sasa najihusisha na KILIMO.
Kwa maelezo zaidi PM
Wakuu habari za weekend?
Upweke unachosha kwakweli natamani kupata mume lakini kwa kufuata kanuni za biblia. Mwenye uzoefu au mbobezi please naomba msaada.
Maisha ya upweke yamenichosha sana...
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji...
Mwanaume mwenye uhitaji wa kuwa na mke naomba aje private tuzungumze ili tujenge maisha, mimi ni mwajiriwa serikalini sector ya afya, umri 28 karibu sana, kama hauko na malengo ya mke usjisumbue...
Natafuta mke atakaekubaliana na hali yangu nina shida ya nguvu za kiume na uume mdogo, umri wangu miaka 48.
Mwenye kujali tuwasiliane kwa email hii mbilimbi4@gmail.com au PM
I am a christian young man in my late twenties. I am looking for a girlfriend with future aims in life if everything goes well with us.
Minimum education: diploma
Age: at least 24 and no more...
Mimi ni kijana wa miaka 25, sina kazi wala sina kibarua, elimu yangu ni degree ni mwalimu wa arts ila serikali imekataa kuniajiri ni mfupi kupitiliza na mweusi tena mweusi kweli kweli. Nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.